Kila siku anahitaji Penzi jipya imekaaje hii

Kila siku anahitaji Penzi jipya imekaaje hii

Teh hehe BHT!
Hii theory ya " you dont use it you loose it" inafaa tu pale uko kwenye pingu au husiano rasmi..siyo ukiwa huria kama huyu mdada!

aaaah sisteri mbon aunaanza kuweka mipaka sasa.........usikute binti ndo anaitumia mwenyewe anajionea akhaaaaaaaa kisije kika perish bure, lemme make a gud use of it lol!!!

Aki lakini naona kama huyu binti ana tatizo.......au ndo wale wanaotaka malaika washuke toka mawinguni with total perfection???
 
Mods rudisheni kitufe mi nitende lili jema bana
 
aaaah sisteri mbon aunaanza kuweka mipaka sasa.........usikute binti ndo anaitumia mwenyewe anajionea akhaaaaaaaa kisije kika perish bure, lemme make a gud use of it lol!!!

Aki lakini naona kama huyu binti ana tatizo.......au ndo wale wanaotaka malaika washuke toka mawinguni with total perfection???

yeye naye ... watu wakimchambua anafit kwenye kundi lipi hadi atake malaika?
Most probably atakutana na shetani bilausi mwenyewe!
 
Huyo anahitaji moja ya vitu vifuatavyo:

1) Ushauri wa kisaikolojia
2) Maombi

Watu wenye tabia hizi wapo wengi. Huyu ndio mwanamke wa kwanza kusikia ana hii tabia. Ila nina rafiki zangu kadhaa (wa kiume) ambao wakilala na msichana mara mbili, basi hawataki tena kuwaona. Wanatafuta kila aina ya sababu wavunje uhusiano.

nADHANI MAOMBI YATAMSAIDIA SANA ,MAANA NAONA ANA PEPO
 
yeye naye ... watu wakimchambua anafit kwenye kundi lipi hadi atake malaika?
Most probably atakutana na shetani bilausi mwenyewe!

xactly.... eeeeh shetani bilausi mweh!!!!

huyo ndo shetani kiongozi eeh???
 
wanaume wa kiswahili wengi hawako romantic............na hata akiwa romantic labda kwa siku za mwanzo.....zikimaliza hizo bibie anakitoa manake anakuwa amejichokea maisha monotone, kila siku namna ile ile, mtindo ule ule, marafiki wale wale, mitoko ile ile.

akipata cha kuridhika nacho kwenye relationship ambacho ni zaidi ya yule mwanamme nafiri anaeweza kuwa amejisadia.
 
Hivi biggy una uhakika kuwa yangu haitumiki??? (swali kwa swali)
Nimeshakipata nilichokuwa nakitafuta..... haya tuendelee na sredi. Ushachukua fomu ya udiwani?
 
Ni Binti wa miaka 26-27 siku zote ananishangaza na mienendo yake
Nadhani akikaa sana B/f haizidi 2 years hapo kajitahidi sana.kishafanya engagement zaidi ya 3 zote anawaacha wachumba.
Nilijaribu kumdadisi kwa nini anadai eti huwa anawachoka wanaume hajisikii kabisa kukaa na mwanamme muda mrefu..na akizidisha mwaka anakuwa kwenye mahusiano asiyoyapenda hata kidogo anaboreka ,anakosa amani na hatamani kumuona huyo mtu..

Yawezekana ni "Casta Semenya" huyo au "lesibian" of lowest degree!
 
hahaaaa read behind the lines Roy!!!!! wats wrong witch u huh???
Nothing wrong....ila kuwa sober ni usumbufu....i can't see the lines, let alone read behind/in between them!
 
huyo bado sana!mwacheni aendelee ku-wanga huku na kule!....

pole yake atakaemuoa maanake atakuta hadi ile theory ya ELASTICITY imeshakuwa ''nullified''!atakutana na bwawa sijui kisima ai doo noo

huyu dada atakuwa sio mzima kiakili ..
 
wanaume wa kiswahili wengi hawako romantic............na hata akiwa romantic labda kwa siku za mwanzo.....zikimaliza hizo bibie anakitoa manake anakuwa amejichokea maisha monotone, kila siku namna ile ile, mtindo ule ule, marafiki wale wale, mitoko ile ile.

akipata cha kuridhika nacho kwenye relationship ambacho ni zaidi ya yule mwanamme nafiri anaeweza kuwa amejisadia.

heheheheheh!! romantic love! Jamani hizo ni ndoto za kusadikika.Kwanza hata yeye mwenyewe hiyo nguvu na muda wa kubakia kwenye romantic mode miaka atatoa wapi? mwambieni come back to earth!
 
Back
Top Bottom