Egyps-women
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 497
- 107
hahahaaa lol!!!muhishimiwa biggy najibu tafadhali...............
will help unsober u!!!Nothing wrong....ila kuwa sober ni usumbufu....i can't see the lines, let alone read behind/in between them!
:closed_2::closed_2::closed_2:
huyo bado sana!mwacheni aendelee ku-wanga huku na kule!....
pole yake atakaemuoa maanake atakuta hadi ile theory ya ELASTICITY imeshakuwa ''nullified''!atakutana na bwawa sijui kisima ai doo noo
hahahaaa lol!!!
will help unsober u!!!
heheheheheh!! romantic love! Jamani hizo ni ndoto za kusadikika.Kwanza hata yeye mwenyewe hiyo nguvu na muda wa kubakia kwenye romantic mode miaka atatoa wapi? mwambieni come back to earth!
AMfikishe wapi sasa?1. Hajampata mtu wa kumfikisha siku akimpata hatataka mwanamme yeyote na hata mwacha.
2.Akikua ataacha kubadili ataona kuwa wanaume karibu wote tunafanana kwa mambo mengi.
1. Hajampata mtu wa kumfikisha siku akimpata hatataka mwanamme yeyote na hata mwacha.
2.Akikua ataacha kubadili ataona kuwa wanaume karibu wote tunafanana kwa mambo mengi.
AMfikishe wapi sasa?
AMfikishe wapi sasa?
katika list ya wanaume wooote aliopita hajapata hata mmoja wa kumfikisha??
wooooooooooooooote WANGAPI MAMA!nikiisoma sredi naona kama ni engagement tatu tu!na wanaume tuko weeeeeeeeeeeeeeeengi sana.....!may be kuna listi ingine hujaidisplei hapa!katika list ya wanaume wooote aliopita hajapata hata mmoja wa kumfikisha??
Afike wapi? Yeye haendi popote....angekua anaenda angeshafika!:embarassed2:katika list ya wanaume wooote aliopita hajapata hata mmoja wa kumfikisha??
WOS huyo binti nahisi hajui ujan ani moshi ukienda haurudi...........anajua kila siku akipita watu wataendelea kuvunja tu shingo na kujikwaa n akuota manundu kama NN!!!
Noname,
Kuna swali nataka kumrushia FL1 aliyeanzisha mada.Sijui kama aliwahi kumuuliza huyo binti wa miaka 25-27 kuwa siku akifika miaka 27x2 = 54 bado atatafuta romantic love? Na je kama hakuwa na mwenzie akavumilia kuwa naye hadi wakajenga mapenzi yakapevuka na kuwa undugu, atakuwa mgeni wa nani? Tena akifikia miaka 35 kama kuna mtu atampa " hi" ashukuru Mungu maana kama asemavyo Fidel ( japo huwa nampinga kwa nguvu zote) ndio wanaitwa " used beyond recycling"......
engagement iko more than three Teamo mbona wengi hao ? sijui mitarimbo yao wote imelala doro au utendaji kazi na upendo ni hapa?wooooooooooooooote WANGAPI MAMA!nikiisoma sredi naona kama ni engagement tatu tu!na wanaume tuko weeeeeeeeeeeeeeeengi sana.....!may be kuna listi ingine hujaidisplei hapa!
BACK TO UKWELI SASA:kinachonisikitisha ni kwamba huyo mwanadafada aliweka bond ''kitumbua''