Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 150
Halafu hata ukiitumia kwenye hii case mbona mi naona itamaanisha ukiitumia sana manake inakuwa kubwa kama alivyosema teamo na ukiacha kuitumia kitu kinakuwa kdogo. hapo mume anakuta kitu mwake anaanza kuikuza mwenyewe.Teh hehe BHT!
Hii theory ya " you dont use it you loose it" inafaa tu pale uko kwenye pingu au husiano rasmi..siyo ukiwa huria kama huyu mdada!
Huyo dada ana jini mahaba. Sijui atakuwa na wanaume wangapi hadi atakapozeeka. Halafu jini hili husababisha azae watoto wa baba tofauti tofauti. yaani akiwa na watoto wanne na idadi ya baba ni hivyo hivyo. Anatakiwa akemewe haraka sana pepo hilo litoke.
Yaani huyo alivyo hata akijiforce akae na mme mmoja, lazima atakuwa na mme wa pembeni tu na atakuwa akichange every two years. NOTHING BUT PRAYERS
eeh!engagement iko more than three Teamo mbona wengi hao ? sijui mitarimbo yao wote imelala doro au utendaji kazi na upendo ni hapa?
Du aisee we Buji ni balaa, yaani nimecheka hadi nimeangukia kidole kdogo.Huyo kapigwa jini muwasho.
Kila wakati anahitaji msasa mpya wa kumkuna.
Dawa yake ni maombi tu.
Unamchokoza NN??WOS huyo binti nahisi hajui ujan ani moshi ukienda haurudi...........anajua kila siku akipita watu wataendelea kuvunja tu shingo na kujikwaa n akuota manundu kama NN!!!
unauliza majibu mkuu? ha ha ha umeelewa sana.
eeh!
ngoja nikachukue kifaa cha kupima validity ya sred ako
be back.......
Too bad u already dd.Tall bana u have to be specific with stupid head like me.... kama wote hao wajamfikisha then I am sorry to say that she knows very little about this thing.... kwahiyo kosa ni lake!!! I dont like to sound very judgmental though...
Unamchokoza NN??
hakisomi!ngoja nikipe mudaha ha ha kipimo kinathemaje eti....
haya bana.hahahaaa sas ahapo mi nimemfanyeje si alikuja hapa akasema alijibamiza kwenye nguzo ya concrete akimgeukia mrembona akaota nundu??
1. Hajampata mtu wa kumfikisha siku akimpata hatataka mwanamme yeyote na hata mwacha.
2.Akikua ataacha kubadili ataona kuwa wanaume karibu wote tunafanana kwa mambo mengi.
haya bana.
hakisomi!ngoja nikipe muda
Ni Binti wa miaka 26-27 siku zote ananishangaza na mienendo yake
Nadhani akikaa sana B/f haizidi 2 years hapo kajitahidi sana.kishafanya engagement zaidi ya 3 zote anawaacha wachumba.
Nilijaribu kumdadisi kwa nini anadai eti huwa anawachoka wanaume hajisikii kabisa kukaa na mwanamme muda mrefu..na akizidisha mwaka anakuwa kwenye mahusiano asiyoyapenda hata kidogo anaboreka ,anakosa amani na hatamani kumuona huyo mtu..
Yuko tayari kutafuta sababu ili aachane na boyfriend aliye naye ili atafute B/F mpya.
**Asaidiweje binti huyu**
Mie binafsi naona kama anashindwa kuelewa mwili wake ni wa thamani sio kila mtu anayekuja usoni kwake anastahili kupewa penzi...:A S 39:
..
mbona wanaume wanabadilisha wanawake kama nguo ...na hili halionekani ni jambo la ajabu?
mie namsifu huyo dada,she has been true to herself and true to everyone else!
sio wote bana,...wengine sie ni walokole!
mbona wanaume wanabadilisha wanawake kama nguo ...na hili halionekani ni jambo la ajabu?
mie namsifu huyo dada,she has been true to herself and true to everyone else!