Kila siku jioni ikifika nakwenda kushuhia hii kitu baridii, maalumu kwa kanda yetu

Kila siku jioni ikifika nakwenda kushuhia hii kitu baridii, maalumu kwa kanda yetu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Unapata supu la sato na ugali muhogo au supu la kuku na ugali muhogo kisha unashushia. Hili kitu nina likubali ni mahusui kwa kanda yetu. Likiwa la baridi linapanda kibabe.

image_search_1619022699703.jpg
 
Wengine sisi wa value tunaweka wapi sifa zake?
 
Mkuu inakuwaje watu wakiwa wanatumia balimi wanaondoa lebo, ina maana wanainyanyapaa bia ya wakulima....
 
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku njoooniii huku njoooniii huku

Kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa
 
Wehu huu
 
Hizo bia Lau Masha katusambazia sana upendo enzi hizo Mwanza ,huyu kada sijui kapotelea wapi ?
 
Back
Top Bottom