Ikoje mkuu? Hebu tupe ABCMkuu unaijua hii kitu ikiwa baridii
Acha kupaniki jamvini hapa,stick kwenye context..si nimeuliza tu kuwa buku saba ni balimi ngapi ili niitafute fasta nipooze koo??..Matusi ya nini?We ni mpuuzi au fala?
Kwa Dar inauzwa 1200. Bia 5 hizo na nauli inabakiBuku saba (lumumba7) ni balimi ngapi?