Kila siku kazi yetu itakuwa kuwasifia Wakenya

Kila siku kazi yetu itakuwa kuwasifia Wakenya

Wamebadili katiba lakini mpaka leo maandamano ya vurugu na kuuana

Wamebadili katiba bado Rais amelalamikiwa kuvunja katiba mara kadhaa.

Wamekiondoa Chama tawala wakaingia wapinzani lakini bado wananchi wanafikia hatua kaundamana na kufanya vurugu

Hapa kuna la kujifunza, suala sio kukiondoa Chama Tawala je hao wanaotaka kuwatoa chama tawala washike Dola wanamikakati na mipango gani? Au ndio yanakuwa yaleyale?
Hata hizo nchi zilizo endelea hawakufika hapo walipo kitahisi ni baada ya strugle ya mda mrefu. Viongozi wakiona wanajipangia kila kitu holela hlela na nyie mmekaa kimya wanawadharau. Wao wanajilimbikizia mali halafu nyie wanawaita wananchi wanyonge. Lazima tuhakikishe tunatoka katika mentalite za kinyonge na kwende kwenye ufahamu wa strong people hapo ndipo viongozi watatuheshimu. Tunategemea bunge kuws linatuwakilisha lakini wabunge wapo busy na maslai yao tu.
 
Back
Top Bottom