Kila siku kazi yetu itakuwa kuwasifia Wakenya

Hata hizo nchi zilizo endelea hawakufika hapo walipo kitahisi ni baada ya strugle ya mda mrefu. Viongozi wakiona wanajipangia kila kitu holela hlela na nyie mmekaa kimya wanawadharau. Wao wanajilimbikizia mali halafu nyie wanawaita wananchi wanyonge. Lazima tuhakikishe tunatoka katika mentalite za kinyonge na kwende kwenye ufahamu wa strong people hapo ndipo viongozi watatuheshimu. Tunategemea bunge kuws linatuwakilisha lakini wabunge wapo busy na maslai yao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…