kila siku mimi tu jamani

kila siku mimi tu jamani

Haaaaaaaaahaaaaaaaahaaaaaaaa naomba niishie kucheka mie maana.nahisi hadi mate yamenikauka,kisa Asprin.
Haya bana ngoja nikuache. Vipi, bado unavipenda vile vipaka vyako? Mshauri na mwenzio kama anaona wanaume wanamliza sana kuna njia nyinngiza kupunguza mastress.

attachment.php
 
Haya bana ngoja nikuache. Vipi, bado unavipenda vile vipaka vyako? Mshauri na mwenzio kama anaona wanaume wanamliza sana kuna njia nyinngiza kupunguza mastress.

attachment.php
siwezi kuvisahau si unajua tena ninavyovipenda?????sema kama unataka nikupe kimoja.afu naomba we ndo umshauri coz nahisi atakuelewa zaidi.si unjua -ve charges_ _ _,na +ve charges_ _ _.malizia na wewe.
 
Nimalizie siyo? We ushaanza? Maana hayo mambo ya +ve charges na -ve charges raha uanze wewe mi nimalize.... haya nakuja, au twende sote?
f13.jpg
 
binafsi naamini mtu anaweza kubadilika ila inahitaji subira na busara, binafsi nilikuwa kicheche ila nimerekebishwa na nimekubali kisawasawa. jaribu kutengeneza uhusiano unao utaka na unaweza kumshepu mtu unavyotaka.
ila utake usitake huwezi kupata mwanaume wako peke yako wanaume tunategwa sana ila MUNGU anatubeba vinginevyo wanaume wengi wasingekuwa wanarudi home.mfano hapa ofisini kwangu kuna binti anaweza kuja mara tatu na nguo tatu tofauti kwa siku juzi akaona sielewi ndo akaja kavaa kata k na bado sikusema huyo ni binti bado kuna mke wa mtu kaja naye kakaa masaa matatu na kabla ya hapo simu kama tatu asubuhi shida iliyomleta hasemi na matokeo yake anaingilia ushauri ninaowapa wateja wangu wengine
hivyo muhimu komaa na mtegemee MUNGU akuongoze usikubali kuwa ndizi iliyoiva.
 
Nimalizie siyo? We ushaanza? Maana hayo mambo ya +ve charges na -ve charges raha uanze wewe mi nimalize.... haya nakuja, au twende sote?

nyk3.jpg
aaaahhhhhhhhhhhh anza wewe ili kama inawezekana nikuingize mitini umesikia eeehhhhh.
 
aaaahhhhhhhhhhhh anza wewe ili kama inawezekana nikuingize mitini umesikia eeehhhhh.
Nikianza mimi we unaweza usifike kileleni, usinilaumu lakini. Unajua kazi ya kupanda mlima ilivyo ngumu kwa wanawake?
 
Nikianza mimi we unaweza usifike kileleni, usinilaumu lakini. Unajua kazi ya kupanda mlima ilivyo ngumu kwa wanawake?
kwa wengine tu kwangu nyepesiiiii kama kumsukuma mlevi.
 
kila siku mimii tu kila naekua nae kimapenzi lazima anicheet ninamkosi gani jaman au ninamatattizo gani mimi mbona wengine wanafurahia maisha yao ya mapenzi. WHY ME!!!!!???????

Inawezekana wewe u-mfuatiliaji sana. Next time ukimpata mtu amini ha-cheat utaona mambo yanavyokuwa mswano!
 
pole dia kama unataka udumu na mwanaume kwa muda mrefu bila maumivu, make sure unajipenda wewe kwanza, kila kitu jipendelee wewe yeye awe part ya furaha yako tu ila asiwe chanzo cha furaha yako, nakuhakikishia kila dakika atatamani akutafute lol
 
Hilo ndilo neno la Mila! Tuwashukuru Mababu!!

Popote ulipo Kaizer, tuna mwanachama mpya hapa! Wanawake watakapokubaliana na ukweli huu hapo red, wangepunguza misongo mingi ya mawazo.

Jamani, wanaume hawakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Hivi huko mitaani hamuyaoni mabeberu na majogoo? Khaaa!!

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.................. beberu hilo. haya bana chonde mwili kunyorodoka unahusu sana hapa.
 
pacha hii dunia ina mambo kakaangu!kuna story falni hivi kuna mama alituhadithia ofisini ilinifanya nitafakari kweli kweli kuhusu kitu kinaitwa ridhiko la kimapenzi kwa mwanadamu!huyo baba alikuwa ana mahusiano na house girl,mke wake ni bomba ile mbaya,then anafanya yale yote unajua mwanaume anataka afanyiwe pacha!yet yule mume alikuwa anatoka na huyo binti wa kazi,mkewe alipokuja akugundua akamuuliza mumewe nini sababu,kama ni kupika nakupikia,natunza nyumba,nafanya miradi,tunasali pamoja,nakuhudumia kila aina ya mapenzi na kama ni usafi ndo usiseme kuanzia nyumba mpaka mwili,mwanaume akadakia mke wangu hapo hapo kwenye usafi,ur too neat!too neat!wakati mwingine nakuwa nna hamu na zenye harufu ka ya fenesi!

he he he eti ya fenesi.kusema ukweli i once had a grl who was over clean down there.wasnt that good,isiwe chafu at the same time it should have that lovely punani smell lol
 
Nobody In The World
Can Have A Crystal Clear Heart.!!
Because
Everyone's Heart Has Some Scratches
Scribbled By Their Dear Ones
 
he he he eti ya fenesi.kusema ukweli i once had a grl who was over clean down there.wasnt that good,isiwe chafu at the same time it should have that lovely punani smell lol

lol!post hayo majibu kwa pacha wangu Snowball na mwanafunzi wangu Asprin manake walikuwa wananibishia
 
Unadhani unaumizwa wewe tu!hata mie waniumiza au kwa sababu sijasema !tuvumiliane tu!
 
nani kakwambia wato wanaenjoy, sema hawasemi wanavumilia, inabidi uwe na kifua mwanamke sio kila kitu unaweka wazi, nyie ndo hamfai kuolewa kabisa.
 
Back
Top Bottom