:confused2::confused2::confused2:Nimekuwa na hili swali kwa muda mrefu sana.
Najiuliza "Hivi kwanini napenda sana kubembelezwa"???? NA kubembeleza????
Mwanzoni Husband alikuwa anashindwa ila siku hizi ha kila mara anafanya hivyo.
Ni kudeka, au ni kitu gani. Wakati nikiwa msichana mdogo nikiwa na mvulana usiponibembeleza nakupiga chini ila ukinibembeleza aahhh sikuachi.
Tena napenda yale maneno mazuri matamu matamu (Na mimi huwa nayatumia kwa sana) Baby, Darling, My Love, Sweetie, nk
NB: BE marufuku kuchangia hapa
Nimekuwa na hili swali kwa muda mrefu sana.

Muwe mnafanya hivyo na nyie basiNikilia nabembelezwa kwa upendoooo
Nae akinuna namliwaza kwa vitendoooo
Je wewe ushawahi, kubembelezwaa
Mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa, nadekezwaaaaaaaa. dedication to you mylv
Muwe mnafanya hivyo na nyie basi
Mhhhhhh!!! Naona hata mimi maana yule anadeka kweli sijui ndivyo ulivyomlea l.o.lJe wewe umeshawahi kubembelezwa ,mama kama kuna nafsi ya kudeka shurti udeke mwanamke ,shurti ubembelezwe DA hayo ndo mapenzi yanyewe ,hakuna ubaya hata kidogo
Ahaaaa ahaaaa leo nikirudi home lazima nikuanzishie ugomvi tugombane halafu tuishe hapo ulipopasemaTunafanya saaana tu sie tuliofundwa basi tu huwa hamzikubali, mi napenda pale tumegombana ugomvi mkubwa halafu nabembelezwa jamani, halafu mnaishia mahala fulani, halafu mi naendelea tu kulia haieleweki nalilia ugomvi au muendelezo. mhhhh mapenzi matamu jamani