Wakati unaelekea MIKUMI au?
utakufa masikini mkuu Trust me.muhulize mishana jr
swissme
Gunia lenye PesaWakuu tangu wiki iliyopita kila nikilala usiku naota nimeokota gunia la pesa, ila nikishtuka najikuta nimekumbatia pilow.
Je hizi ndoto zina maana gani?
Amka uende Shule utachelewa bure kwa kukaa unawaza ndoto ulizoota.Wakuu tangu wiki iliyopita kila nikilala usiku naota nimeokota gunia la pesa, ila nikishtuka najikuta nimekumbatia pilow.
Je hizi ndoto zina maana gani?