Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gunia lenye Pesa
kapime malaria sio bure hali ya uchumi ilivyombaya nani aangushe gunia la hela?Wakuu tangu wiki iliyopita kila nikilala usiku naota nimeokota gunia la pesa, ila nikishtuka najikuta nimekumbatia pilow.
Je hizi ndoto zina maana gani?
●Ndoo yenye MajiLovely!!!, japo huwa sielewi maneno kama haya hapa chini yanazoelekaje
- Ndoo ya maji
- Banda la kuku
- Barabara ya lami
Huyo unayetaka aulizwe na a prove kuwa ni kweli ndio Mungu wako?utakufa masikini mkuu Trust me.muhulize mishana jr
swissme
Yes Sir.Huyo unayetaka aulizwe na a prove kuwa ni kweli ndio Mungu wako?
SIYO LENYE...LAGunia lenye Pesa
sio kweli.SIYO LENYE...LA