Kila siku status unapost wenzio wanaolewa we unaolewa lini?

Kila siku status unapost wenzio wanaolewa we unaolewa lini?

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Habari

Kuna hawa wadada ambao wao kila siku status unakuta anapost harusi za shoga zake wakati yeye bado wahuni wanapiga kisela.

Najiulizaga sana uwa hawakai wakatafakari na kutamani nao waolewe kama wenzao au wameridhika na maisha ya uboyfrind na ugirlfriend?

Dada acha kujichoresha mitandaoni.
 
Wanaume waoaji ni wachache. Wengi wanataka kulana K, halafu wanasepa.

Ila pia kuna % fulani ya wanaume ambao wanakula K halafu wanaona waoe huyohuyo anayempea K.



Changamoto ni uchumi wa kuendesha familia ni changamoto
 
Back
Top Bottom