Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,857 Reaction score 3,593 Dec 22, 2024 #1 Habari Kuna hawa wadada ambao wao kila siku status unakuta anapost harusi za shoga zake wakati yeye bado wahuni wanapiga kisela. Najiulizaga sana uwa hawakai wakatafakari na kutamani nao waolewe kama wenzao au wameridhika na maisha ya uboyfrind na ugirlfriend? Dada acha kujichoresha mitandaoni.
Habari Kuna hawa wadada ambao wao kila siku status unakuta anapost harusi za shoga zake wakati yeye bado wahuni wanapiga kisela. Najiulizaga sana uwa hawakai wakatafakari na kutamani nao waolewe kama wenzao au wameridhika na maisha ya uboyfrind na ugirlfriend? Dada acha kujichoresha mitandaoni.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Dec 22, 2024 #2 Kwanza kuwa anapost tu inamuondokea sifa ya kuolewa na mtu anayejielewa. Kwani ulivyompigia kumpongeza haitoshi mpaka umpost?
Kwanza kuwa anapost tu inamuondokea sifa ya kuolewa na mtu anayejielewa. Kwani ulivyompigia kumpongeza haitoshi mpaka umpost?
Akilindogosana JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 4,303 Reaction score 12,679 Dec 22, 2024 #3 Wanaume waoaji ni wachache. Wengi wanataka kulana K, halafu wanasepa. Ila pia kuna % fulani ya wanaume ambao wanakula K halafu wanaona waoe huyohuyo anayempea K. Changamoto ni uchumi wa kuendesha familia ni changamoto
Wanaume waoaji ni wachache. Wengi wanataka kulana K, halafu wanasepa. Ila pia kuna % fulani ya wanaume ambao wanakula K halafu wanaona waoe huyohuyo anayempea K. Changamoto ni uchumi wa kuendesha familia ni changamoto