Kila siku wachaga tu, leo sema chochote kuhusu wapare

Wapare wanasifika kwa bajeti nzuri, ila wanazushiwa eti niwafupi wakati sio kweli

Ni wabahili sana na wanaweza kula ugali kwa picha ya samaki. Jogoo ni mpaka azeeke kabisa ndo watamchinja,na wanapenda makande sana chakula ambacho mi sikipendi.
 
huwezi kulinganisha mpare na mchaga'wapare ni maskini wa mwili na roho kwa hiyo hatujadili watu kama hao'hawana sifa ya kujadiliwa
 
wapare ni wabahili sana,, samaki anapikiwa mchuzi mara 2 alafu jirani anakuja kumuazima tena huyo samaki anaenda kumpikia tena mchuzi kama mara mbili ivi anarudisha kwa mwenyewe tena,, mambo gani haya!!!

Hahahahaha hao ndo wapare mkuu.
 
huwezi kulinganisha mpare na mchaga'wapare ni maskini wa mwili na roho kwa hiyo hatujadili watu kama hao'hawana sifa ya kujadiliwa

searching...........
loading..............
No network......
 
wanaume wanaanika dawa za kuongeza nguvu za nanihii mchana kutwa ili zitumike usiku baada ya kula, wanawake wanafundushwa yale mambo yetu na shangazi zao, hivyo ukikutana nae kama haupo makini unakabidhi kila kitu... ni wataalam sana wa mambo yetu.
nackia taratibu hizi ndo zinawafanya wawe wagawaji saaana kwa wanawake na wapigaji saaana wa vitu vya kwenye sketi kwa wanaume.
 
wapare ni wabahili sana,, samaki anapikiwa mchuzi mara 2 alafu jirani anakuja kumuazima tena huyo samaki anaenda kumpikia tena mchuzi kama mara mbili ivi anarudisha kwa mwenyewe tena,, mambo gani haya!!!

Upendo ulioje kumwazima kitoweo mwenzako. Mara ngapi sisi wachaga tunaazimana kitoweo?
 
wapare ni wazuri wa sura na maumbo, wengi wana maumbo namba 8 na wanamgongo wa kibantu haswaa, mambo ya 6*6 huwawezi, ukioa mpare lazma uendelee sbb ni wachumi,wanaakili ya darasani sana, na pia wanajua kupenda kiukweli ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…