Kila siku wachaga tu, leo sema chochote kuhusu wapare

Kila siku wachaga tu, leo sema chochote kuhusu wapare

huwezi kulinganisha mpare na mchaga'wapare ni maskini wa mwili na roho kwa hiyo hatujadili watu kama hao'hawana sifa ya kujadiliwa
tofauti ya wapare na wachaga ni WAPARE wanatumia nguvu zao kutafuta mali zao za halali na WACHAGA kazi yao ni kuibia wenzao na kutoa ndugu na watoto wao kafara ili watajirike.
 
wapare ni wabahili sana,, samaki anapikiwa mchuzi mara 2 alafu jirani anakuja kumuazima tena huyo samaki anaenda kumpikia tena mchuzi kama mara mbili ivi anarudisha kwa mwenyewe tena,, mambo gani haya!!!
ipere thi kindu, kindu ni mshombe
 
wanapenda makande sbb ni chakula chao cha asili, we ulitaka wapende nguruwe kama nyie?

Hahahahaha! @ Angel,pamoja na uasilia wa chakula hcho,nadhani pia kuna some particles za ubahili.We unadharau kitu cha nguruwe,kitu ghali na cha ukweli hcho wewe!
 
Hahahahaha! @ Angel,pamoja na uasilia wa chakula hcho,nadhani pia kuna some particles za ubahili.We unadharau kitu cha nguruwe,kitu ghali na cha ukweli hcho wewe!
ah wapi, asili yenu ni kibulu hayo manguruwe mmezamia tu,
 
wapare ni wazuri wa sura na maumbo, wengi wana maumbo namba 8 na wanamgongo wa kibantu haswaa, mambo ya 6*6 huwawezi, ukioa mpare lazma uendelee sbb ni wachumi,wanaakili ya darasani sana, na pia wanajua kupenda kiukweli ukweli.

hapo umenena kwenye shep wapo figa namba 8 na 6 ya kwao na huo mgongo hata usiseme lakini hao wachaga umbo namba 9 la kwao na namba moja utafikiri wacheza mieleka hizo tabia ndogondogo ni za individual waweza kuta mpare hana we unazo za ajabu wengi wao babyface halafu hawapendelei kuchubua ngozi
 
Wow! fantastic Doudou
 
tofauti ya wapare na wachaga ni WAPARE wanatumia nguvu zao kutafuta mali zao za halali na WACHAGA kazi yao ni kuibia wenzao na kutoa ndugu na watoto wao kafara ili watajirike.

Sure ukioa mchaga lazima ujiandae kutolewa kafara
 
tofauti ya wapare na wachaga ni WAPARE wanatumia nguvu zao kutafuta mali zao za halali na WACHAGA kazi yao ni kuibia wenzao na kutoa ndugu na watoto wao kafara ili watajirike.

Yan Angel weacha tu wanafikiria kuiba tu!
 
Ni wabahili sana na wanaweza kula ugali kwa picha ya samaki. Jogoo ni mpaka azeeke kabisa ndo watamchinja,na wanapenda makande sana chakula ambacho mi sikipendi.

Mkuu sikweli mm tangu nimezaliwa sijaona mt akila ugali na pec ya samaki.pia kuhusu ubahli hili sawa na nilazima mt kua bahli pale unapokua umeeka malengo fulani hii inatokana na vipato kua kidogo kuliko mahtaji.swala la ufupi sikweli hata huko kwenu wapo wafupi.makande nichakula cha asili mkuu hata kwenu najua chakula cha asili kipo mm simpare ila huo ndio ukweli wenyewe.nawakilisha
 
huwezi kulinganisha mpare na mchaga'wapare ni maskini wa mwili na roho kwa hiyo hatujadili watu kama hao'hawana sifa ya kujadiliwa

Yani wewe ndio kiazi kweli wachaga wanayo sifa ipi kubwa?fafanua huo umaskin wa mwili niupi?
 
Sasa mbna mnadiscuss wachaga badala ya wapare.! Mnachakachua thread
 
Hakuna'ga mpare mrefu, kacheki dna na mzazi wako wa kiume inawezekana enzi zile madha ako anaenda benki pale moshi mjini alikutana na kijana wa kichaga aka.....oh no its just a joke!
mbona mi mrefu?
 
Back
Top Bottom