Mifano ya majina ya watoto
wakipare Majina ya kike: (Mazina a vabora va
Chasu) Ingiahedi, Itikija, Kafue, Kapingu,
Kapwete, Kodawa, Kokiambo,
Komkwavi, Kompeho, Kondisha,
Ludao, Mchikirwa, Mshinwa, Naanjela,
Nacharo, Naetwe, Nafue, Nahuja,
Nakadori, Nakiete, Nakijwa, Nakimo, Nakunda,
Nakundwa,Namkunda,Nabera,Nangasu,Naomba,
Nambike, Nampingu, Namshitu, Namsi,
Namwai, Namwasi, Nangena, Nanguji,
Nanguma, Nankondo, Nanyika,
Nanza, Nanzano, Nanzighe, Narindwa, Nasero, Nashumbwe, Natujwa,
Navoneiwa, Navuri, Navushiku,
Ngalakere, Nghuhia, Niendiwe,
Nietiwe, Ntevona, Shode, Yunesi, Majina ya kiume: Bumija, Chali, Chaligha, Charo,
Charema, Chuma, Elieseri,
Eliesikia,Elinighenja,Elibariki,Elifazi,
Elitumaini, Fue, Ghuheni, Gurisha,
Ibwe, Igaria, Irigo, Irira, Kadio, Kadiva,
Kajiru, Kakore, Kalage, Kalimbo, Kalinga (Jina hili pia lipo Mkoa wa
Iringa), Kambaita (Jina hili lipo pia kwa
Wachagga), Kaniki, Kanyempwe, Karia
(Jina hili lipo pia kwa Wachagga),
Kateri, Kazeni, Kazoka, Kejo, Kiandiko,
Kiandiko, Kiangi, Kiariro, Kideghedo (Same), Kideghesho (Mwanga), Kihara,
Kijo, Kilave, Kileghe, Kileng'a,
Kinenekejo (Wengine hufupisha na
kuita Kejo), Kintungwa, Kipesha,
Kisamo, Kisenge, Kitojo , Letei, Liana,
Linga, Lukiko, Lukio,Lukungu, Lusingu, Macha (Jina hili lipo pia kwa
Wachagga ambapo kwao ni Ukoo),
Machwa, Madoffe, Maghembe (jina hili
lipo pia kwa Wasukuma likiwa na
maana ya majembe), Maliondo,
Mapunjo, Mashuve, Mbajo, Mbasha, Mbazi, Mbonea, Mbuji, Mcharo, Mding'i,
Mgheni, Mhando (Jina hili pia lipo
mkoa wa Tanga), Minja (Jina hili pia
lipo kwa Wachaga ambapo kwao ni
Ukoo), Mkodo, Mkwavi, Mlavwasi,
Mmari (Jina hili lipo pia kwa wachaga lakini maana zikiwa tofauti. Kwa
Wapare lina maanisha mtafuta mali),
Mnaro, Mndima, Mntambo, Mntindi,
Mnyindo, Mrekwa, Mrimi, Mrinde,
Mrindwa, Mrindoko, Mrio, Mroki,
Mshigheni, Mtango, Mtengeti, Mtera, Mteti, Mwanyika (Jina hili pia lipo Mkoa
wa Iringa), Mweri, Mweta, Mzangaze,
Nachai, Ndago, Ngasu, Ngomoi
(Same), Ngomuo (Ugweno), Nguve,
Ngwijo, Niarira, Nisaghurwe, Nkima,
Ntarishwa, Ntekaniwa, Nyange (Jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini
linatumika hata kwa wapare. Kwa
Wachagga ni ukoo ambapo kwa
Wapare ni jina tu la kawaida), Nzao,
Nziajose, Nziamwe, Ojuku, Ombeni,
Pekea, Ringo (Jina hili lipo pia kwa Wachagga ambapo kwao ni Ukoo),
Sechome, Sechuma, Sefue, Semboja,
Sempeho, Sempombe, Semu, Sengasu,
Sengondo (Mwanga), Senguji,
Senkondo (Same), Senkoro, Senzia,
Senzota, Sevuri, Shaghude, Taseni, Tenga (Jina hili pia lipo kwa Wachagga
ambapo kwao ni Ukoo), Tenshigha,
Teri,Twazihirwa,Warema,Zihirwa,
Zihirwani.