huwezi kulinganisha mpare na mchaga'wapare ni maskini wa mwili na roho kwa hiyo hatujadili watu kama hao'hawana sifa ya kujadiliwa
ipere thi kindu, kindu ni mshombe
hata harusi zao wakicheza shurti washikane mikono kama wanacheza ukuti ukuti, we ogopa hadi bibi harasi na bwana harusi wanacheza blus huku wameshikana mikono!?!? ETI WATANI ZANGU NI KWANINI?Angel Msoffe,waullize wachaga kwanini kwao kwanini hawachezi BLUZ Wakati wa disco?
[emoji23] [emoji23]Wapare hawana tofauti na midoli
Eti ni wakali wa limbwata.....wapare ni wazuri wa sura na maumbo, wengi wana maumbo namba 8 na wanamgongo wa kibantu haswaa, mambo ya 6*6 huwawezi, ukioa mpare lazma uendelee sbb ni wachumi,wanaakili ya darasani sana, na pia wanajua kupenda kiukweli ukweli.
Ni wabahili sana na wanaweza kula ugali kwa picha ya samaki. Jogoo ni mpaka azeeke kabisa ndo watamchinja,na wanapenda makande sana chakula ambacho mi sikipendi.