Kila siku wachaga tu, leo sema chochote kuhusu wapare

Kila siku wachaga tu, leo sema chochote kuhusu wapare

Kuna jamaa yangu ni mpare kipind tukiwa hostel yy alikuwa analala kitandan cha chini alifunga kamba kitandan anapolalia ya kuwekea nguo halaf zingine aliweka kitandani ukizingatia kulikuwa na makabat lkn ndiyo hivyo. Ila nikajua ameshazoea maisha ya uparen
 
wapare hajui kupenda...wanataamaa sijawahi kuona...kila mwanamke wanayemuona ni saizi yao...wabinafsi..sijawah kuona..wanapenda sifa kama wahaya ..hasa ukiwa nae baada utasikia shayo usilipe bill nitalipa mim...akidate na wew ndo forever hana muda wa kukuulizia unaendeleaje umekufa au upo hai haimuhusu..mpare aliyeoa michepuko usiombe...
 
wapare ni wabahili sana,, samaki anapikiwa mchuzi mara 2 alafu jirani anakuja kumuazima tena huyo samaki anaenda kumpikia tena mchuzi kama mara mbili ivi anarudisha kwa mwenyewe tena,, mambo gani haya!!!
Umenichekesha kweli yaani
 
Naamini mtoa post atakuwa ni MCHAGA mtani wangu, ahsante ni UTANI tu wala wapare hatuko hivyo wanaJF, ndio raha ya kuzaliwa Tanzania tunataniana hatugombani
 
Shimboni
sheamka..
naskia kidume
uki cheat
manzi wa
kipare
anakukata
dushe.
 
wanagubu....hasa wale wa usangi ni wabinafsi(wasuya),mlango wa nane[washana]
 
wapare ni wabahili sana,, samaki anapikiwa mchuzi mara 2 alafu jirani anakuja kumuazima tena huyo samaki anaenda kumpikia tena mchuzi kama mara mbili ivi anarudisha kwa mwenyewe tena,, mambo gani haya!!!
Hahahhaha hii kali
 
Back
Top Bottom