Kila siku wewe tu ndo kikwazo jamaniiiiiiiiiii

Nimejaribu kupakapaka rangi hayo maneno wakati natafakari I can't wait eti atabadilika lini kwani mimi nesi mpaka kuniandaa kuuguza migonjwa anayo jitafutia ???

haya nimekupata imependeza kweli kumbe bado unafanya hii kazi ya kupaka rangi madaftari mh nilijua uliachia msingi
 
Huyo sio mwanaume ni kidume tu
 
haya nimekupata imependeza kweli kumbe bado unafanya hii kazi ya kupaka rangi madaftari mh nilijua uliachia msingi

kumbe mtu kupona tabia ni kazi niliacha nikijua utaremba tu

haya nimekupata imependeza kweli kumbe bado unafanya hii kazi ya kupaka rangi madaftari mh nilijua uliachia msingi

mi kiboko kwa rangi nilianzia kwenye barua za ''silali usingizi nakuota! ha ha haaaa!''
 
Duh! sipati picha, hebu chukulia huyo m2 ni mchele halafu hayo madhaifu ni viungo nahisi ukichanganya wala huwezi pata pilao au aina yoyote ya chakula kitokanacho na mchele, kwa maana hiyo basi hata ukimwachia Mungu utakuwa unawachelewesha wengine kuhudumiwa. Km ni mwenzi wako mwache aendelee na huo utawala wa mwovu we sepa zako.
 
kwakweli hizo sifa ulizotoa, kama bado unaishi naye basi utakua umeikosea sana na kuidhulumu nafsi yako! hizo ni sifa za mtu ambaye hawezi kuishi na watu.
Maisha yenyewe ndo haya...tena uishi na mtu wa hiyo, mwe!
 
Tukikataa kuoa mtatulaumu kama mambo yenyewe ndiyo hivi?
 
kwakweli hizo sifa ulizotoa, kama bado unaishi naye basi utakua umeikosea sana na kuidhulumu nafsi yako! hizo ni sifa za mtu ambaye hawezi kuishi na watu.
Maisha yenyewe ndo haya...tena uishi na mtu wa hiyo, mwe!

umeona na bado anajiona yuko sawa kabisa tena anajiona kaona mji kumbe ndo kufa masikini
 
madai yake mfumo dume jamani ndo hivi au huu mfumo wa ujinga wake
 
Mfumo dume wa wapi huo! wala si mfumo wa ujinga wake bali mfumo wa upumbavu wake.

huyu anafaa kuwa mwanaume mkomavu mwenye kumiliki watoto wa jinsia zote ?????/
 
mh,hayo mazito. ingawa ndoa ni mpaka kifo ila kwa tabia hzo wallah sitovumilia. atajijua ye na Mungu wake lol. . .
 
mh,hayo mazito. ingawa ndoa ni mpaka kifo ila kwa tabia hzo wallah sitovumilia. atajijua ye na Mungu wake lol. . .

hahaha furahi kukuona hapa inabidi miujiza ije ya ndoa kwani ndo uwanja wa shetani kukata rumba nowdayz ati
 
Jifunze kusoma halafu soma tena.La kaangalie kama una dyslexia.

jamani unakasirika nini nani hajui huku kama umeshaoa mara 4 pitapita humu ndani utapata majibu ka sikuwezi unataka kumwibia nani hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…