Kila siku ye anataka tu, Mchana akirudi kazini usiku.....

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Habari zenu waungwana.
Leo nimekumbuka kisa cha siku nyingi kidogo. Ni binamu yangu
ambaye aliolewa na jamaa mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi
POSTA na SIMU kabla hazijajitenga.

Siku moja alirudi nyumbani na mabegi yake na kudai kuwa hataki
tena kurudi kwa yule Mume. Ilikuwa ni ngumu sana kuelezea kisa cha
tatizo lakini mumewe alipokuja na kikao cha pande mbili kilipofanyika
ndipo Binamu yetu alipokuja na malalamiko hayo ya aina yake akidai
kuwa amechoka na huyo mwanaume kwani kila siku ye anataka tu,
yaani akirudi "kazini
kabla hata ya kuuliza chakula ye anataka**** kwanza". Ilikuwa ni vigumu
kumshawishi binti kurudi kwa yule mwanaume na ilishindikana kabisa.

Baadae yule jamaa alikuja kuoa mwanamke mwingine ambaye naye alikaa
naye mwaka mmoja tu kisha wakaachana kwa sababu kama zilezile, sifahamu
kilichoendelea kwani baada ya POSTA NA SIMU kuvunjika jamaa alihamishiwa
BUKOBA.

Je kuna uhalali wa kuachana na mume kwa sababu ya kutaka kila siku?
 
Binamu yako rigwaride lilimshinda, ha ha ha!.
Hata aliyefuata alishindwa kwa sababu hizo hizo hali iliyopelekea
jamaa kunyooshewa vidole mtaani. Huku kila anapopita kina dada
wakiitana na kuonyeshana. Sijui huko Bukoba ilikuwaje maana pale
Wilayani asingeweza kupata mtu tena baada ya hao wawili.
 
Siku hizi hakuna wanaume kama hao, wale walikuwa
wanakula dona, siku hizi huu mwendo wa Chips kuku
ni kwa mwezi mara moja tu. Wale ndo walikuwa wanaume
bana, siku hizi kuna watoto wa kiume tu, hereni sikioni suruali
makalioni, legelege mtaani mpaka kitandani.
 
Duh! wenzio wanalalamika we unasifia?
 
Duh! wenzio wanalalamika we unasifia?
Kuna post humu inasema wanaume wa siku hizi hawana uwezo
kitandani wanapigana vikumbo kwa wataalamu wa tiba za asili
hebu badilisheni mfumo wa vyakula kwanza, si unaona wenzenu hao
wao walikuwa wanatafuta Speed gavanor (vipunguza mwendo)
nyinyi mnatafuta vizidisha mwendo matokeo yake magari yanakuwa
mchuzi juu.
 


Mcharuko...You seems to have a bad sample......Send me a private MSG and i will prove you wrong....
 
Bukoba lazima jamaa alipata wa kumtuliza mkandundu wake. Bukoba kuna vyakula vingi vyenye kuleta ashiki na hali ya hewa inaruhusu ngono za hapa na pale
 
huyo jamaa km mimi........napiga mashine mpaka mwanamke aombe pooo
 
sio kwamba TIGO ilikua inahusika ndio maana wahusika walikua wanasepa?
 
wanawake wa Bukoba wanahimili hiyo michezo kwani katerero ndio ngumu kuliko hako ka mchezo kwa kuchovya na kuchomeka kaa chamdarua ya malaria
 
Na mie nimemuwaza huyo huyo!
Kama ume-notice wifi, always kwenye miti hakunaga wajenzi. Ukisikia mwenzio analalamika hapendi kuambiwa 'I love you' kila saa, mwingine analalamika kuwa hajawahi sikia hilo neno toka alipotongozwa akakubali! Sijui hata yanakuwaje haya mambo!
Angeswitch mke na Billie. LOL
 
Last edited by a moderator:
Je kuna uhalali wa kuachana na mume kwa sababu ya kutaka kila siku?
Kutokana na sheria za dini kuna uhalali, sababu tendo la ndoa sio la kulazimishana...ndo mana mwanaume anapotaka kuoa, anatakiwa awe kakamilika kiakili, lazima awe anafahamu sex itakuwa nzuri kama mwanamke yule ataifurahia hio ya kufanya kila siku kama mwenamke hapendezewi inaitwa kero sio sex tena.
 
Nakubaliana na wewe lakini usije ukakosea step ukadhani wanaume wote wa siku hizi wote wako hivyo, angalia usije kuangukia kwa walaji wa gole na asali asubuhi, mchana tende na pilau a samli fresh na tende pembeni+vitunguu maj na pili pili za kusaga pembeni+ fresh juice ya tikiti maji unaweza na wewe ukakimbia :biggrin1:
 

Nauna mkono hoja
 
Bukoba lazima jamaa alipata wa kumtuliza mkandundu wake. Bukoba kuna vyakula vingi vyenye kuleta ashiki na hali ya hewa inaruhusu ngono za hapa na pale
fafanua hivyo vyakula mkuu, mi nafahamu
ndizi ndo huwa zinaliwa zaidi huko unakusudia hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…