GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Habari zenu waungwana.
Leo nimekumbuka kisa cha siku nyingi kidogo. Ni binamu yangu
ambaye aliolewa na jamaa mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi
POSTA na SIMU kabla hazijajitenga.
Siku moja alirudi nyumbani na mabegi yake na kudai kuwa hataki
tena kurudi kwa yule Mume. Ilikuwa ni ngumu sana kuelezea kisa cha
tatizo lakini mumewe alipokuja na kikao cha pande mbili kilipofanyika
ndipo Binamu yetu alipokuja na malalamiko hayo ya aina yake akidai
kuwa amechoka na huyo mwanaume kwani kila siku ye anataka tu,
yaani akirudi "kazini
kabla hata ya kuuliza chakula ye anataka**** kwanza". Ilikuwa ni vigumu
kumshawishi binti kurudi kwa yule mwanaume na ilishindikana kabisa.
Baadae yule jamaa alikuja kuoa mwanamke mwingine ambaye naye alikaa
naye mwaka mmoja tu kisha wakaachana kwa sababu kama zilezile, sifahamu
kilichoendelea kwani baada ya POSTA NA SIMU kuvunjika jamaa alihamishiwa
BUKOBA.
Je kuna uhalali wa kuachana na mume kwa sababu ya kutaka kila siku?