Kila story itamsifia muwindaji hadi pale simba atakapojifunza kuandika

Kila story itamsifia muwindaji hadi pale simba atakapojifunza kuandika

Wakoloni walikuja kuformat akili zetu na kutusahaulisha kila kitu chetu na kutulisha mambo yao na sisi tukakubali kuona kila kitu chetu hakina maana hapo ndo laana yetu ilipoanza.WEWE MWAFRIKA HAUPO KWENYE HISTORIA ZAO NA BADO UNASHADADIA TU NA KUWA MSTARI WA MBELE KUYAAMINISHA HAYO ULIOLISHWA KAMA ULIKUWEPO YANAPOTOKEA(TUACHE UJINGA NA TUANZE KUJITAMBUA KWANZA NDO TUTAPIGA HATUA KWENYE MAISHA YETU)
 
Kwenye ujenzi wa kizazi imara kinacho fuata kuna mambo matatu ya kuzingatia Malezi, ngano na Elimu.

Tukirejea maelezo hayo ambayo ni Sehemu ya andiko lako.
Je kuna haja ya kujua kama ngano nzenyewe ni Sahihi au ni za Uongo?

Naona kama kwa maelezo ya Mwandishi Zipo ngano zinazohusu wa Africa na hazijaandikwa.
Ndugu Marcoveratti, huoni kama zikiandikwa Ngano za ki Africa na zenyewe zitaingia kwenye kundi hilohilo la kuwa ama ni zakweli au ni zauongo?

Nakubaliana wewe juu ya Umuhimu wa elimu na Malezi, Ili kujenga kizazi Imara.
Ngano zinamchango wake pia, Lakini Muhimu kwenye hili nafikiri ni kufahamu kama wewe Upo, na kama Upo una Chanzo chako.

Sasa huyo Chanzo kwasababu hujawahi kumuona Mpe jina lolote, Alafu Muombe na yeye atakusaidia kama hao Miungu wa Wengine wanavyotenda katika Maisha ya Watu wao Wakiombwa.
Na juu hili ni tu, Kama unaamini uwepo wa Super natural power.
(The Source)
 
Moja ya jambo ambalo hunikwaza sana basi huwa ni kudhania sisi Waafrika ni WAJINGA sana

Sitaki ionekane kwamba natetea hali tuliyonayo lakini ukweli pia usemwe

Waafrika ni watu gani?
Wamisri? Wadanganyika, wa comoro? Wasomali au watu wote wanaoishi Afrika...... Nimjadala mpana huu

Leo nataka kuongelea swala la imani za dini
Inasemwa sana waafrika tumeletewa hizo dini na wazungu na waarabu tukadharau dini zetu..... NI KWELI kabisa

Lakini hicho ndio kimetokea hata Uingereza Ufaransa na nchi nyingi sana za ulaya Australia USA nk

Ukristo haukuanza Ulaya ni wakoloni wa Kirumi ndio waliousambaza ukristo hadi waingereza na nchi zingine zote zikaachana na dini zao Asili na kung’ang’ania ukristo

Imefikia mahali kuna watu wanadhani labda ukristo ulianzia Uk au USA nk
Hizi nchi ilibidi ziachanane na imani zao na kuukumbatia ukristo...... kuna ajabu gani kwetu Afrika?

Enzi hizo warumi wali force watu kuwa wakristo kama vile tawala za kiislam zilivyo force watu kuslimu
 
Mr ulipo tupo
 
Back
Top Bottom