Kwenye ujenzi wa kizazi imara kinacho fuata kuna mambo matatu ya kuzingatia Malezi, ngano na Elimu.
Tukirejea maelezo hayo ambayo ni Sehemu ya andiko lako.
Je kuna haja ya kujua kama ngano nzenyewe ni Sahihi au ni za Uongo?
Naona kama kwa maelezo ya Mwandishi Zipo ngano zinazohusu wa Africa na hazijaandikwa.
Ndugu Marcoveratti, huoni kama zikiandikwa Ngano za ki Africa na zenyewe zitaingia kwenye kundi hilohilo la kuwa ama ni zakweli au ni zauongo?
Nakubaliana wewe juu ya Umuhimu wa elimu na Malezi, Ili kujenga kizazi Imara.
Ngano zinamchango wake pia, Lakini Muhimu kwenye hili nafikiri ni kufahamu kama wewe Upo, na kama Upo una Chanzo chako.
Sasa huyo Chanzo kwasababu hujawahi kumuona Mpe jina lolote, Alafu Muombe na yeye atakusaidia kama hao Miungu wa Wengine wanavyotenda katika Maisha ya Watu wao Wakiombwa.
Na juu hili ni tu, Kama unaamini uwepo wa Super natural power.
(The Source)