Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #1,981
ni mda mkuu toka nitumie, umeitoa hapo kwenye thread sio?So hiyo vtube25 ambayo unatumia nayo ni outdated
Yaah niliitoa hapo maana hata site ikawa haifungukini mda mkuu toka nitumie, umeitoa hapo kwenye thread sio?
sasa hivi addons nyingi zina shut down sababu ya sheria sheria mpya huko ughaibuni, ila zipo bado zinazofanya kazi.
TOP BEST WORKING KODI Addons List November 2017 | WirelesSHack
jaribu kutest recomendation hio.
steam unamaanisha acestream? hiyo haiwezi kuwa down ni p2p, technology kama ya torrent. naitumia karibia kila wiki inafanya kazi vizuri tu na quality kubwa ya HD au full HD. sema inakula sana bundle sometime hadi GB 5 mechi 1.Hizo zote site down,steam down.
yah hizo addons za juu ni za zamani sana ila mpya zipo bado naziona ziona online.Nilikua na maana ya hizo addons ukishaziinstall,ukizifungua zinakuambia site down au stream down na si acestream.
Mkuu naomba link za kuangalia Azam tv online, mbali na kutumia app yao. Nimejaribu kutumia app yao kwenye pc kwa Bluestacks inagomahio ndio hasara ya plugin za bure si tv zote zinafanya kazi, ikikataa moja jaribu nyengine then utajua zipi zinazoonesha na zipi hazioneshi
umejaribu hizi links?Mkuu naomba link za kuangalia Azam tv online, mbali na kutumia app yao. Nimejaribu kutumia app yao kwenye pc kwa Bluestacks inagoma
Nashukuru mkuu natumia VLC,mambo safii kabisa. Live bila chenga
mkuu mbona mimi nimejaribu naona mapicha picha tu. wala sijafanikiwayah hizo addons za juu ni za zamani sana ila mpya zipo bado naziona ziona online.
test hii hapamkuu mbona mimi nimejaribu naona mapicha picha tu. wala sijafanikiwa
hiyo yenyewe bado kuna sehemu nakwama nikishafika kwenye inistal frm zippy file. nikiselect blamo inaniogomea haniruihusu kuselect ok so nakwamia hapo.test hii hapa
How To Install Aragon Live TV Kodi Addon | WirelesSHack
nimeijaribu sasa hivi chanell kibao zinafanya kazi, mpira, movie, habari etc
Kabelwa
umesha add repository tayari?hiyo yenyewe bado kuna sehemu nakwama nikishafika kwenye inistal frm zippy file. nikiselect blamo inaniogomea haniruihusu kuselect ok so nakwamia hapo.
kuna kimoja kipo upanga niliwahi mpeleka mtu, output za vijana wa pale sio mbaya. kama ni kitu unachokipenda ujuzi utakaoupata na juhudi zako unaweza ukatoka.Nilikuwa nataka nifungue uzi kuhusu swali langu lakini nika kumbuka nawezapata msaada kwa watu wowote wanaopitia uzi huu au mzee Chief-Mkwawa unawezanipa msaada ni hivi mimi nahitaji kusoma kozi iwe fupi au ndefu kuhusu Animation ila sijajua chuo kizuri kwa hapa Dar nikipi sasa sijui kuna mtu anaweza nisaidia au mzee chief unaweza nipa ushauri wa chuo gani kizuri ili niwezepata elimu Hii natanguliza shukrani zangu kwenu
naambiwa one or more item fail to play nafix vip hii ixutest hii hapa
How To Install Aragon Live TV Kodi Addon | WirelesSHack
nimeijaribu sasa hivi chanell kibao zinafanya kazi, mpira, movie, habari etc
Kabelwa