Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Hizo zote site down,steam down.
steam unamaanisha acestream? hiyo haiwezi kuwa down ni p2p, technology kama ya torrent. naitumia karibia kila wiki inafanya kazi vizuri tu na quality kubwa ya HD au full HD. sema inakula sana bundle sometime hadi GB 5 mechi 1.
 
Nilikua na maana ya hizo addons ukishaziinstall,ukizifungua zinakuambia site down au stream down na si acestream.
 
Nilikua na maana ya hizo addons ukishaziinstall,ukizifungua zinakuambia site down au stream down na si acestream.
yah hizo addons za juu ni za zamani sana ila mpya zipo bado naziona ziona online.
 
hio ndio hasara ya plugin za bure si tv zote zinafanya kazi, ikikataa moja jaribu nyengine then utajua zipi zinazoonesha na zipi hazioneshi
Mkuu naomba link za kuangalia Azam tv online, mbali na kutumia app yao. Nimejaribu kutumia app yao kwenye pc kwa Bluestacks inagoma
 
hiyo yenyewe bado kuna sehemu nakwama nikishafika kwenye inistal frm zippy file. nikiselect blamo inaniogomea haniruihusu kuselect ok so nakwamia hapo.
umesha add repository tayari?

pia angalia version yako ya kodi hakikisha ipo up to date
 
Nilikuwa nataka nifungue uzi kuhusu swali langu lakini nika kumbuka nawezapata msaada kwa watu wowote wanaopitia uzi huu au mzee Chief-Mkwawa unawezanipa msaada ni hivi mimi nahitaji kusoma kozi iwe fupi au ndefu kuhusu Animation ila sijajua chuo kizuri kwa hapa Dar nikipi sasa sijui kuna mtu anaweza nisaidia au mzee chief unaweza nipa ushauri wa chuo gani kizuri ili niwezepata elimu Hii natanguliza shukrani zangu kwenu
 
kuna kimoja kipo upanga niliwahi mpeleka mtu, output za vijana wa pale sio mbaya. kama ni kitu unachokipenda ujuzi utakaoupata na juhudi zako unaweza ukatoka.

chuo kinaitwa media one kinaangalizana na makao ya jeshi pale,

tembelea huu uzi
looking for a College that runs 3D animation course in tanzania

mtafute huyo kadoda na good guy watakusaidia kwenye huo uzi.
 
Back
Top Bottom