Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Mimi nilijaribu vdubt24 bila mafanikio ila nilipoweka phoenix ikakubari kwenye tecno p5 sky sport zinaonyesha poa
 
Install superRepo all(gotham) then tafuta add on imeandikwa zemtv..iactivate hyo...super sport utazipata huko zinaonyesha

Mkuu Innomatix Hiyo superRepo inapatkana kwenye nini?....msaada tafadhali
 
Kinachotakiwa tafuta post za nyuma utaona wameweka site ya jinsi ya kuiweka phoenix ingia halafu soma na ikiwezekana andika pembeni ili ukiingia kwenye kodi kuset umalize mpaka mwisho nini ni rahisi
 
Naweza kuingia System>File Manager>Add source. Nikicklick add source ndo inagoma kurespond kabisa

Mimi iliwahi kugoma sababu ya skin, nilieka 3rd party skin. Ndio maana nkakwambia na wewe umetoa wap hio skin?

Pia kama addon inazingua achana nayo tafuta nyengine. Phoenix ni rahisi sana kutumia
 
phoenix unaweka vp mdau mbna me sion kweny zile add ons zang
soma jinsi ya kuweka

Select SYSTEM > File
Manager
Select Add Source
Select None
Type the following EXACTLY
http://fusion.tvaddons.ag
and select Done
Highlight the box underneath
Enter a name for this media
Source & type fusion
Select OK
Go back to your Home
Screen
Select SYSTEM
Select Add-Ons
Select Install from zip file
Select fusion
Select xbmc-repos
Select english
Select repository.xbmchub-
x.x.x.zip
Wait for Add-on enabled
notification
Select Get Add-Ons or
Install from repository on
Isengard
Select TVADDONS.ag Addon
Repository
Select Video Add-Ons
Select Phoenix
Select Install
Wait for Add-on enabled
notification
Phoenix is now installed and
ready to use. As usual the add-
on can be accessed via VIDEOS >
Add-Ons > Phoenix
 
Mimi iliwahi kugoma sababu ya skin, nilieka 3rd party skin. Ndio maana nkakwambia na wewe umetoa wap hio skin?

Pia kama addon inazingua achana nayo tafuta nyengine. Phoenix ni rahisi sana kutumia

Mkuu samahani nimedandia gari kwa mbele nimedownload kodi nimeenda kwenye video>add on>zimefunguka chanel nyingi tu> click chanel> nime install>inakuja enabled.

Wapi nimekosea niwie radhi lakini kwa kukurupuka kwangu nielekeze tu.
 
asante kamanda wang
 
Mimi iliwahi kugoma sababu ya skin, nilieka 3rd party skin. Ndio maana nkakwambia na wewe umetoa wap hio skin?

Pia kama addon inazingua achana nayo tafuta nyengine. Phoenix ni rahisi sana kutumia

chief me kuna tatzo linantokea niclick station labda kama skysport 2 inaload kisha inatokea rangi nyeuc hvyo image haionekani nackia saut tu watu wanaongea cwaoni....zngne wanaonekana baadh hawaonekan nackia saut tu
 
Out of topic,samahani mkuu Chief Mkwawa naomba uniambie hasara na faida za ku-update Windows Phone Nokia Lumia 625 pia nini cha kuzingatia kuepuka madhara kama yatakuwepo,pia naomba nielekezwe jinsi ya kuunda Wi-Fi network,pia ktk windows phone haifai kuweka ringtone nayoitaka?Asante.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu samahani nimedandia gari kwa mbele nimedownload kodi nimeenda kwenye video>add on>zimefunguka chanel nyingi tu> click chanel> nime install>inakuja enabled.

Wapi nimekosea niwie radhi lakini kwa kukurupuka kwangu nielekeze tu.
Haujakosea kitu kitu rudi tena video then add on utaona ile add on yako ipo (imeshakua installed) iclick itafunguka na kuonesha video zake
 
chief me kuna tatzo linantokea niclick station labda kama skysport 2 inaload kisha inatokea rangi nyeuc hvyo image haionekani nackia saut tu watu wanaongea cwaoni....zngne wanaonekana baadh hawaonekan nackia saut tu
Huwenda ni tatizo la server za sky, vitu vya bure ndio tabu zake. Test chanell nyengine pia hazioneshi?
 
Kikawaida ku update simu hakuna madhara bali faida ya kuongezeka vitu, ila kuna wakati hutokea update ikawa na bug simu isifanye kazi vizuri. Utajuaje kama update ni mbaya au nzuri? Utajua kwa watu wenzako ambao wamesha update, pitia hapa jf, nenda windowscentral utapata reviews mbali mbali za update.

Kuunda wifi nenda setting halafu internet sharing. Kama unamaanisha wifi ya ku update itabidi utafute mtu mwenye simu yenye wifi yeye akutengenezee halafu wewe u connect ndio utaweza ku update.

Kuhusu ringtone nenda store search ringtone maker download, hio app inabadili song kuwa ringtone.
 
Last edited by a moderator:

Aksante kiongozi saaafiii!!! saaanaaaaa!!!!

Jioni njema!!!
 
Asante mkuu Chief Mkwawa kwa msaada wako,now nimeelewa vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Install superRepo all(gotham) then tafuta add on imeandikwa zemtv..iactivate hyo...super sport utazipata huko zinaonyesha

Mkuu nimechimbua hadi huko SS lakini hakuna inayoonyesha, kama kuna VPN unatumia tuelekeze nasi tupate hizo SS
 
Attachments

  • SS.jpg
    30.4 KB · Views: 195
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…