Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 430
- 61
Hii mambo imekaa njema jana nilifanikiwa sema sasa Internet ndo magumashi kinoma nimenunua 1GB ya airtel lakin ni shida tupu lakin pia, game ya chelsea ilipoanza ikakata kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mambo imekaa njema jana nilifanikiwa sema sasa Internet ndo magumashi kinoma nimenunua 1GB ya airtel lakin ni shida tupu lakin pia, game ya chelsea ilipoanza ikakata kabisa
Njia rahisi ingia youtube halafu play video then fungua dashboard ya modem halafu nenda statistics angalia speed unayopata.
Kama speed ni ndogo (chini ya 1mbps) itabidi utafute stream ambazo ni za low quality ndio utaweza kustream bila kukata kata
HAYA GEMU YA ARSENAL NA WESTHAM KAMA UNA KI SOFTWARE CHA ACESTREAM LINK HII HAPA SKYSPORT 1
acestream://7dcf3c8daaad0efbef55af2d74d52a5f8f65783c
Mkuu naomba kuuliza kuhusu acestream hizo link zinavadalika au ni moja kwa moja ? Kama sio nafanyaje niweze kiufadhi?
Samahani mkuu hivi hii Vdubt25 kwenye simu haipatikani?
mkuu Chief-Mkwawa nimeipata ligi ya premier kupitia PAK INDIA TV kupitia star sport ambayo inarusha mechi sawa na supersport ambacho hakifanani ni logo tu
Wanachoongezea wao ni logo yao na matangazo tu labda na wale wachambuzi kabla ya michezo kina Thomas Mlambo na wengineligi ya uingereza ni ile ile bila kujali chanell unayoangalia, wale wachambuzi, highlight na mambo yote unayoyaona yanatengenezwa na ligi yenyewe hivyo kina supersport na bein sport wakilipia kuonyesha wanapata kila kitu. hata ukiangalia chanell za marekani pia zinafanana na supersport
Njia rahisi ingia youtube halafu play video then fungua dashboard ya modem halafu nenda statistics angalia speed unayopata.
Kama speed ni ndogo (chini ya 1mbps) itabidi utafute stream ambazo ni za low quality ndio utaweza kustream bila kukata kata
Naomba kuuliza, hapa naona kuna add-ons watu wanazotaja lakin kwenye orodha yangu hazipo, yaan hata nikienda kwenye get more bado sizioni je nafanyaje kuziongezea?
Huwez kupat ad ons bila kuinstall