Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Hii mambo imekaa njema jana nilifanikiwa sema sasa Internet ndo magumashi kinoma nimenunua 1GB ya airtel lakin ni shida tupu lakin pia, game ya chelsea ilipoanza ikakata kabisa
 
HAYA GEMU YA ARSENAL NA WESTHAM KAMA UNA KI SOFTWARE CHA ACESTREAM LINK HII HAPA SKYSPORT 1

acestream://7dcf3c8daaad0efbef55af2d74d52a5f8f65783c
 
Njia rahisi ingia youtube halafu play video then fungua dashboard ya modem halafu nenda statistics angalia speed unayopata.

Kama speed ni ndogo (chini ya 1mbps) itabidi utafute stream ambazo ni za low quality ndio utaweza kustream bila kukata kata
 
Samahani mkuu hivi hii Vdubt25 kwenye simu haipatikani?
 
HAYA GEMU YA ARSENAL NA WESTHAM KAMA UNA KI SOFTWARE CHA ACESTREAM LINK HII HAPA SKYSPORT 1

acestream://7dcf3c8daaad0efbef55af2d74d52a5f8f65783c

Mkuu naomba kuuliza kuhusu acestream hizo link zinavadalika au ni moja kwa moja ? Kama sio nafanyaje niweze kiufadhi?
 
acestream ni kama torrent, p2p hivyo inaweza kuwa permanent au isiwe. kitu kinakuwa kwenye computer ya mtu na sio kwenye server kama vile http/rtsp
 
mkuu Chief-Mkwawa nimeipata ligi ya premier kupitia PAK INDIA TV kupitia star sport ambayo inarusha mechi sawa na supersport ambacho hakifanani ni logo tu
 
Last edited by a moderator:

ligi ya uingereza ni ile ile bila kujali chanell unayoangalia, wale wachambuzi, highlight na mambo yote unayoyaona yanatengenezwa na ligi yenyewe hivyo kina supersport na bein sport wakilipia kuonyesha wanapata kila kitu. hata ukiangalia chanell za marekani pia zinafanana na supersport
 
Wanachoongezea wao ni logo yao na matangazo tu labda na wale wachambuzi kabla ya michezo kina Thomas Mlambo na wengine
 
hiz link za acestream ninazo nyingi fox hd hbo hd fx hd .nk nashindwa kutengeneza playlist nakua na copy na kupaste kwenye software yake
 
Njia rahisi ingia youtube halafu play video then fungua dashboard ya modem halafu nenda statistics angalia speed unayopata.

Kama speed ni ndogo (chini ya 1mbps) itabidi utafute stream ambazo ni za low quality ndio utaweza kustream bila kukata kata

Poa, asante kidogozi
 
Naomba kuuliza, hapa naona kuna add-ons watu wanazotaja lakin kwenye orodha yangu hazipo, yaan hata nikienda kwenye get more bado sizioni je nafanyaje kuziongezea?
 
Wapenzi wa beiN sports naona inapatikana ktk World Tv XunityTalk.com addon iko tu vizuri
 
Back
Top Bottom