Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

naombeni msaada kuna tv zngne nikiplay hazionesh nackia saut tu...watu cwaon nsaidien
 
Unaweza angalia hio error kwenye log file, nafkiri lipo kwenye program files then folder la kodi

Ila mara nyingi tatizo lao wenye plugin na sio lako. Mfano link imekufa

habar yak chief-mkwawa...kuna tatzo hil naliona bado kwangu lnansumbua sana nkiopen tv mfano sky sport 1 linatokea giza jeus halaf nackia saut tu watu wanaongea ila cwaon karibia station zote yan moja moja sana zinazoonesha niliunstall kila kitu na kuinstall upya ila wap...leo nkachange cmu nikaweka kodi kwa cmu ya nyingne tofaut na yang bado tatzo linakuja hlo hlo nkplay tv nackia saut tu watu cwaon naomba msaada wako nmeweka vdubt25..phoenix n vlevle tu
 

Matatizo mengi ya hivyo yapo nje ya uwezo wako. Just test chanell zote then utajua zipi zinafanya kazi. Angalia plugin tofauti tofauti. Jaribu ku update latest version ya plugin
 
Matatizo mengi ya hivyo yapo nje ya uwezo wako. Just test chanell zote then utajua zipi zinafanya kazi. Angalia plugin tofauti tofauti. Jaribu ku update latest version ya plugin

poa mdau nmekusoma ku update version ya plugin unaupdate vp
 


Sie wa Window phones hatuna app yetu ya kufaidi haya mambo??
 
hata kwenye hz stamrtphone za tecno p5 inakubali?
 
Mwenye kujua plug in ya kulipia haina longo longo channel zote zipo on air zina channel nyingi au android box ambazo zinakuja nazo
 
Asante sana Chief-Mkwawa leo nime-install kodi kwenye PC yaani ni noma, na-enjoy kinoma yaani full mzuka. Naangalia Chanel yoyote ninayojisikia kitu clear yaani daah, thanks jamii forum
 

Hilo linakuwa ni tatizo la codec zinakosa kwa simu yako jaribu kutafuta sln online
 
Mwenye kujua plug in ya kulipia haina longo longo channel zote zipo on air zina channel nyingi au android box ambazo zinakuja nazo

IPTV Stalker...

Ingia mtandao wao utaona namna ya kulipia...

Wapo vizuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…