Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza angalia hio error kwenye log file, nafkiri lipo kwenye program files then folder la kodi
Ila mara nyingi tatizo lao wenye plugin na sio lako. Mfano link imekufa
habar yak chief-mkwawa...kuna tatzo hil naliona bado kwangu lnansumbua sana nkiopen tv mfano sky sport 1 linatokea giza jeus halaf nackia saut tu watu wanaongea ila cwaon karibia station zote yan moja moja sana zinazoonesha niliunstall kila kitu na kuinstall upya ila wap...leo nkachange cmu nikaweka kodi kwa cmu ya nyingne tofaut na yang bado tatzo linakuja hlo hlo nkplay tv nackia saut tu watu cwaon naomba msaada wako nmeweka vdubt25..phoenix n vlevle tu
Matatizo mengi ya hivyo yapo nje ya uwezo wako. Just test chanell zote then utajua zipi zinafanya kazi. Angalia plugin tofauti tofauti. Jaribu ku update latest version ya plugin
Katika keyboard yako (nadhani unatumia laptop au desktop pc)...
Bofya button iliyochorwa alama | na \, kawaida hiyo button huwa upande wa kulia chini ya Backspace na juu ya Enter...
Hapo utatoka au kuingia Full screen mode, from there utaweza kuiminimize kwa mouse kawaida...
Sie wa Window phones hatuna app yetu ya kufaidi haya mambo??
poa mdau nmekusoma ku update version ya plugin unaupdate vp
Sie wa Window phones hatuna app yetu ya kufaidi haya mambo??
Kwa wp 8.1 hakuna, maybe windows 10 for phones itakuwepo
habar yak chief-mkwawa...kuna tatzo hil naliona bado kwangu lnansumbua sana nkiopen tv mfano sky sport 1 linatokea giza jeus halaf nackia saut tu watu wanaongea ila cwaon karibia station zote yan moja moja sana zinazoonesha niliunstall kila kitu na kuinstall upya ila wap...leo nkachange cmu nikaweka kodi kwa cmu ya nyingne tofaut na yang bado tatzo linakuja hlo hlo nkplay tv nackia saut tu watu cwaon naomba msaada wako nmeweka vdubt25..phoenix n vlevle tu
Hilo linakuwa ni tatizo la codec zinakosa kwa simu yako jaribu kutafuta sln online
daaahhh...aisee yan cjui hata pakuanzia mdau wang naomba nsaidie sln online yan kvp
Jaribu ku google km kodi unapata sound no pic zipo sln
Mwenye kujua plug in ya kulipia haina longo longo channel zote zipo on air zina channel nyingi au android box ambazo zinakuja nazo
Jaribu ku google km kodi unapata sound no pic zipo sln
nashukur sana kamanda wng umenpa idea nzur mpaka nmefanksha now nawatch vzur tu asante sana