Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)


mkuu Njunwa hiyo rojadirecta naiweka kwenye KODI au nastream kupitia browser ?
 
mkuu Njunwa hiyo rojadirecta naiweka kwenye KODI au nastream kupitia browser ?

Uamuzi wako tu, kama ni browser ingia rojadirecta.me stream na kama ni kodi eka hio add on ya sportsdevil
 

Kaka asante sana kwang inafanya kaz no bando tuu ila kama wi fe inakuwa bora said nashukuru sana ukipata na livesoccertv BC umemaliza kazi
 
Chief-Mkwawa na Njunwa Wamavoko nilifanya update ya kodi kwenda nadhani version 15.something sasa vdtube na phoenix zilikua hazifanyi kazi nadhani ktk kuandika nilikosea zile anuani...what I did ni kwamba niliclear data na sasa nataka kuingiza upya zile anuani hapo pa add source hapafunguki...
Nimejaribu kila namna mpaka na skin nimechange wapi hapafunguki ili niedit...
Help me what should I do😥😥
 

Attachments

  • 1441444612015.jpg
    23.3 KB · Views: 249
Last edited by a moderator:

Download phoenix ambayo ni kama zip file halafu install kama zip
 
Last edited by a moderator:
Download phoenix ambayo ni kama zip file halafu install kama zip

Exactly....nilitaka kitu kama hio maana nishaweka sportsdevil tayari...
Naomba link yake kama unayo ya zip file la phoenix na superRespo
 

Yaah niligugo nikaipata ya phoenix....ya superRepo ndo sijaipata mkuu..na naihitaji kwaajili ya channels za dstv....au kama kuna plugin nyingine yenye hizi channels waweza nipatia...
Pia hapa Nina zip file ya azam TV na star TV aliyoweka Watu8 ila nimesahau jinsi ya kuiweka ili nizipate hizi channels.
 
Last edited by a moderator:

unzip hilo file utakuta file la kodi ndani, hio superrepo naona siipati .zip yake maybe update ijayo ya kodi itafiz hilo tatizo lako
 
Last edited by a moderator:
Mbona Kodi haikubali kuwa installed kwenye PC yangu?
 
Inasemaje?
Ina display hivi kwenye dialog box
Error Opening file for:
C:/Program Files (x86) Kodi. exe
Click Abort to stop the installation,
Retry to try again, or
Ignore to skip this file
 
Ina display hivi kwenye dialog box
Error Opening file for:
C:/Program Files (x86) Kodi. exe
Click Abort to stop the installation,
Retry to try again, or
Ignore to skip this file

Jaribu alternative hii,

Run setup halafu ikija sehemu ya kuchagua pa kuinstall kodi usiinstall kwenye c://program files ieke kwenye folder lengine utakalokumbuka kama c://games nk
 
Kuna hii ADDON inaitwa IsraelLive TV ina List ina range kutokea 700-1000+ Ya Channel personally nimeipenda sababu Nimeona channel ya Trace Urban ambayo basically mpaka uipate kwa hapa Bongo lazima ulipe DSTV au Canal

Nime attach zipi file hivo inabidi uende kwenye settings then Install Addon from Zip ukimaliza install utaikuta kwenye Video addons

Lakini ukia hapo haitokupa kitu chochote lazima u enable IPTV PVR Simple client then uki restart Kodi yako ita load list nzima ya channel

 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…