Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Zantel kwa moro hata 3G hawana na hao smart hata ofisi hawana mpaka ukutane nao kama zali. Wanakera sana.

Nunua line dar, au agizia mtu then jinunulie vocha ya mwezi (20,000) na mashine ya luku, unga internet yako ya mwezi halafu sahau habari za kujiunga unga internet kila siku

mkuu Watu8 naomba nitengenezee hii hapa niingize kwenye kodi
http://tv-tikilive-hls-live.hls.adaptive.level3.net/hls/122.m3u8

Last edited by a moderator:
Nataka unifanyie hiki k2 kwa kwenye cm yangu ya LG sijui itawezekani nina kiasi flan mkonon cha kukutoa

tafuta mtaalamu yoyote mtaani kwako ataweza, mimi naishi mbali sana.

Mkuu nina Samsung Ace 5830i ni android gingerbread kuupgrade nishida.
Niliweka Cust ROM ya jerry bean nimeshindwa install kodi pia hata lazy iptv na mabdro zinadai hadi simu iwe android 4.2 kupanda juu.
Nilikuwa namba mnisaidie jinsi ya kuplay m3u file maana mxplayer haikubali hadi niweke link manually.
Mnisaidie maana siyo rahisi kuzikariri link za online tv zote CC: Chief-Mkwawa , Watu8 Njunwa Wamavoko

Last edited by a moderator:
Sidhani kama utapata msaada kwa toleo hilo la nyuma,Bora uiuze au uigawe then ununue simu nyingine kubwa

Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa Njunwa Wamavoko na Watu8 naweza vipi kupata links za SD za channels za nje kama sky hivi au hata zile za kiafrika kama canal sports na zile za dini.
Nimeona njia ya kuweka playlist iko safii sana kuliko hata addons kwasisi tulio kwenye net kimeo.
Naombeni msaada wenu kwa hilo.
Pia Njunwa naomba ile zip file ambayo ndani umeweka azam two na star TV na trace nadhani kama sio MTV base.

Last edited by a moderator:
Kwasasa natumia husham addon wizard na naona imeifanya kodi kuwa smooth sana na hata appearance yake imechange

Attachments

• 1443756773261.jpg
11.1 KB · Views: 299
http://rtmp://uni2rtmp.tulix.tv:1935/startv/myStream.sdp

http://196.41.40.253:1935/live/myStream/playlist.m3u8

mbona kimya kimya mkuu. toa basi maelezo ya hivi vitu. kuna iliyo na.channel za kibongo hapo?

Mkuu, mi bado nipo symbian na Nokia N80, vp naweza kupata hii huduma?

Download core player then tafuta link zinazoanziwa na rtsp:// au nafkiri pia http zinafaa then tumia hio player kustream,

Ila make sure quality haizidi 360p, video za 240p ndio zitaonesha vizuri kwako.

Tanki angalia post za humu humu kumeshaelezewa sana, page hii hii kuna mtu ka quote post ya watu8 inayoelezea namna ya kuplay Azam na chanell nyengine

Last edited by a moderator:

Maelezo kidogo mkuuu kuhusu hiii link

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…