Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)


CHIEF MKWAWA mimi sipati channel hata moja ya kuangalia League si Skysport wala BeiN sport
 
Last edited by a moderator:


Habari Mkuu.
Nashukuru kwa Thread hii, mpaka sasa nimekuwa na raha sana na LAPTOP yangu.............

nimeitumia hii App na imeifanya PC yangu irudi kwenye ubora wake.

Nimesoma posts za wadau kuhusun uwepo wa Channel za Kibongo kama Azam na Star Tv, naomba msaada naweza zipata vipi na intallation zake ni kwa njia zipi?
Maana nimejaribu kutumia kama ulitupa hapo juu nimeshindwa kabisa.

Ahsante sana na Ubarikiwe Mkuu
 

kuna mdau nimemuahidi lakini chanell za kitanzania online haziaminiki.

azam ilikuwepo lakini sasa hv haifanyi kazi na star tv leo ipo kesho haipo hivyo inakuwa ngumu sana
 
Shukrani za Dhati Kwako Chief Mkwawa... Hapa nipo kucheko game ya Aseno na Bayern..... Mzigo kama natumia Dish la Dstv
 
kuna mdau nimemuahidi lakini chanell za kitanzania online haziaminiki.

azam ilikuwepo lakini sasa hv haifanyi kazi na star tv leo ipo kesho haipo hivyo inakuwa ngumu sana

Pamoja sana Mkuu, nasubiri mrejesho toka kwako
 

Mkuu.nimefuata maelekezo nakufanikiwa. ila bado nahitaji msaada kupata plugins za channel za Bongo kama ITV. Msaada please.
 
Mkuu.nimefuata maelekezo nakufanikiwa. ila bado nahitaji msaada kupata plugins za channel za Bongo kama ITV. Msaada please.

kuna sehemu unajua ambapo naweza pata streaming link ya itv? ili tutengeneze
 

Asante mkuu kwa hii technology lakin sasa mm nafikia hapa na hapa pia inakwama tatizo ni nini??
 

Attachments

  • 1445415537190.jpg
    34.2 KB · Views: 162
Asante mkuu kwa hii technology lakin sasa mm nafikia hapa View attachment 301107 na hapa pia inakwama tatizo ni nini??

kama njia hio inashindikana kuna alternative ambayo ni kuinstall kama .zip

nenda hii website
Phoenix Addon for XBMC & Kodi

download hiyo addon ya phoenix halafu ingia kodi nenda system halafu addons halafu install from zip then chagua hilo file ulilodownload subiria kidogo itainstall kisha nenda videos halafu video addons utazikuta tv zako
 

Utagunduaje mkuu kama ishamaliza kuinstall ili uweze sasa kwenda kwenye videos??
 
Kaka mkubwa tv nazipata ila sasa super sport na sky sport na local tv ntazipata wapi?

kwangu super sport haina maana kama unapata skysport. sababu content ni ile ile unless unataka kuangalia ligi ya south Africa. inagia phoenix halafu sports halafu uk sport utaziona hizo skysport ila nimetest mbili tatu kama zimekufa hv.

local tv zote zimekata kama kuna mtu ana link zinazofanya kazi atume
 

Nimekupata mkuu na nimejaribu kweli sky sport kama zinakata hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…