Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

mkuu naomba msaada jinsi ya kudownload/ku install hiyo kodi kwenye smart phone maana sioni kwenye maelezo ya hiyo link

smartphone gani? kama ni android ipo kwenye link nlioeka ya kudownload
 
Naomba msaada jinsi ya kuinstall plugin kwenye kodi ndan ya android yang
 
Ingia google seach sportdevil maelezo yote utapata huko
 
Hapana mi natumia hiyo sportdevil kwanza soma maelekezo jinsi ya kuiweka halafu idownload
 
Download the following Zip file:
plugin.SportsDevil.zip .
2. Enter XBMC and go to: System >>
Settings >> Add-ons >> Install from zip file , navigate into the folder where you?ve downloaded the zip (through the right pane menu) and select it to install.
3. Next, go into Install from repository
(on Kodi versions lower than 15 its: Get Add-ons ) >> SportsDevil repository >>
Video Add-ons , click to enable
SportsDevil .
That?s it, this repository will supply you with the latest SportsDevil version, so all the latest features will always be at your disposal.
Install SportsDevil Repository (works on all devices
 
Hii vidubt25 haifanyi kazi hata ukifuata maelekezo yote mpaka mwisho uninstall kwenye kufungua zile channels ndio inapogoma kuzifungua kama kuna maelekezo mengine ninayaomba
 
Hii vidubt25 haifanyi kazi hata ukifuata maelekezo yote mpaka mwisho uninstall kwenye kufungua zile channels ndio inapogoma kuzifungua kama kuna maelekezo mengine ninayaomba

vdubt25 ni addon moja kwenye maelfu ya addon usihangaike nayo download phoenix, devilsport, na nyenginezo ukigoogle utazipata kibao.

hii hapa phoenix ikiwa kama zip, nenda install from zip halafu chagua mahala ulipolieka file baada ya kulidownload kwenye hii site

Phoenix Addon for XBMC & Kodi
 
chief hebu nisaidie kidogo,
natumia laptop, ila kodi inatetemeka ile mbaya kiasi kwamba hata siwezi ona chochote.
nimejaribu kuinstall upya bado tatizo linaendelea.
wapi nirekebishe? kodi niliyoinstall ni latest vasion.
 

mkuu nina computer moniter nataka kuitumia kama TV kwenye kisimbuzi au deki ya dvd so kuna kifaa cha kuweza kubadilisha vdeo kutoka VGA TO S VIDEO kama kipo kinauzwa sh ngapi na bongo vnapatikana
 
chief hebu nisaidie kidogo,
natumia laptop, ila kodi inatetemeka ile mbaya kiasi kwamba hata siwezi ona chochote.
nimejaribu kuinstall upya bado tatizo linaendelea.
wapi nirekebishe? kodi niliyoinstall ni latest vasion.

Inawezekana ikawa speed ni ndogo, hebu ingia speedtest.net halafu pima speed yako halafu niambie ping yako ni ms ngapi na download speed ni mbps ngap.
 
Chief-Mkwawa nataman sana nipate hizi channel za supersport, mwongozo tafadhal nazipata kwa addon gan ambazo hizi channel ziko active
 
Last edited by a moderator:

chief nilkuwa naomba unsaidie hil tatzo unakuta station zngne znaonesha vzur tu ila zngne ukiclick znaonesha kuload halaf kmya hazioneash kmya
 

yan inaandika working inazunguka halaf kmya ila zingne furesh tu tatzo n nn naomba nasaidie ndugu
 
yan inaandika working inazunguka halaf kmya ila zingne furesh tu tatzo n nn naomba nasaidie ndugu

Tatizo ni upande wa vdubt25 hivyo sisi hatuwezi fanya kitu mpaka developer wake arekebishe au atoe update
 

Hii topic nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…