Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Wadau vipi hii mobdro ktk kodi unapofika mwisho kuna sehemu inakuambia install kwa juu update na ukiingia kwenye update inafeli naomba utaalamu wenu
 
Wadau vipi hii mobdro ktk kodi unapofika mwisho kuna sehemu inakuambia install kwa juu update na ukiingia kwenye update inafeli naomba utaalamu wenu

Mmmm hujachanganya mambo kweli mobdro then kodi??? Vitu 2 tofauti nafikiri
 
nimefanikiwa kuintall ad on ya vdtub ila nikifungua chanel zinaload tu, anyway mtandao unaweza kua tatizo
 
Mkitafuta support za addon humu mtakuwa mnakosea, madeveloper wa hio addon ndio wenye mamlaka wa kila kitu chanell zikiwa hazionyesh, addons haiload au tatizo jengine sisi hatuwezi kulitatua sababu sisi sio wamiliki.
 
Mkuu Mkwawa ebu nisaidie hapo chini kama kuna option nyingine ya ku install hii kodi. Maana imegoma kuwa na uhusiano na kifaa changu
 
Attachments

  • 1447945881917.jpg
    40.5 KB · Views: 229
Mkuu Mkwawa ebu nisaidie hapo chini kama kuna option nyingine ya ku install hii kodi. Maana imegoma kuwa na uhusiano na kifaa changu

Labda ujaribu mobdro ila kwa kodi haitawezekana
 
Mkuu Mkwawa ebu nisaidie hapo chini kama kuna option nyingine ya ku install hii kodi. Maana imegoma kuwa na uhusiano na kifaa changu

hio ni playstore, jaribu kudownload apk toka website ya kodi, link ipo juu kwenye thread
 
Mkuu Mkwawa ubarikiwe sana japo sky sports zinagoma ila nilichokipata ni zaidi ya elimu tena bure kabisaaaaa.
 
Mkuu Mkwawa ubarikiwe sana japo sky sports zinagoma ila nilichokipata ni zaidi ya elimu tena bure kabisaaaaa.

Eka zem tv kuna jamaa ametoa link hapo juu zinafanya kazi skysports
 
Chief Mkwawa kwenye system hapa kwa desktop yangu addon haionekani!!
 
Ni add on ila haipo katika list inabidi uieke mwenyewe

Shukrani chief Mkwawa nimeipata na naweza kuziona kwa sasa japo ina sita sita ila naona. Naweza pata pluggin nzuri ata ya kununua ili niweze kuziona bila kugoma goma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…