Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)


Sidhani kama hii ndo yenyewe,wewe ume install ukawa na uhakika kuwa ni Stalker clone

How to install hio IPTV stalker clone mfano hio cypher TV

The best and easiest way ya ku enjoy Kodi niku Google kile unachoambiwa utagunddua mambo mengi zaidi ambayo haujaelezwa

Mm nimekutajia Cypher TV na nimeipatia Jina IPTV Stalker Clone....Uki google hizi terms mbili utapata mambo mengi mazuri sana!
Sababu clone ziko kama nne si mbaya ukizijua majina zote ili moja ikikosa development unaamia ya pili
 

unatumia version ngapi? nimeieka now naona chanell nyingi zipo down
 

Duh nime google nimechemka nimepata hii link http://bit.ly/stalkerclone (mega) lkn ku download imekuwa issue km hutojali tupe link sahihi
 
Mbona nimeandika vizuri hiyo website nataka nipate vdubt 25.nikifika kwenye highlite and type xfinity inakuwa imeisha jiandika maana natumia android s5 sumsung .nikibonyeza ok inaniambia could not be open no network ebu nisaidie please
 



Natumia Samsung tab 10.1 lakini inakataa kudownload hiyo app
 
Dawa ya KODI kwa sasa ni Halotel mitandao mingine utasubiria sana, kwa kweli naenjoy sana has a kwa add-on za sport devil, mkaburu atasubiri sana kwenda kulipia dstv
 
Last edited by a moderator:
Hivi naweza angalia dstv kwa hizo kodi wakuu na walimu??

Ndio unapata SuperSports tu kwa ZEMTV.COM shani's Addon
Sema anayezi Host hana speed ndogo ya server so usitegemee ku enjoy

Tafuta Addon yenye Skysports, BT sports,Setanta Sports Utapata kile anachokipata wa Super sports

angalia picha hapa chini kwa mtu mwenye SuperSports kanizidi nini?

 

Hio add on ipiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…