Natumia Samsung tab 10.1 lakini inakataa kudownload hiyo app
Azam two siku hizi hafunguki sijuhi kwa nini so kibongobongo utaambulia startv tu.
Me nilijua simu yangu tuu kila nikifungua link ya azam 2 nakuta hollla
tumewadhibiti siyo kwamba na sisi hatupo Jamii Forums La hasha.
tumewadhibiti siyo kwamba na sisi hatupo Jamii
Forums La hasha.
Sasa hivi inafunguka...
Hapo katikatika ilikuwa inasumbua maana nadhani walikuwa wanahamisha traffic yao kutoka server moja kwenda nyingine hivyo hata souce IP ilibadilika...
Kwa tunaojua tulibadilisha hiyo IP na mambo yakaendelea kuwa safi...
Sasa hivi kuna source IP's (host IP) mbili, ile ya mwanzo na nyingine mpya nafikiri wamefanya hivi kuondoa congestion...
Mkuu acha kudangaya raia...Azam 2 inaonekana vizuri tu
Tablet yako inatumia processor gani na ina android version gani?
Kodi inakubali kuingia katika device ya android yenye version 4.2 na kuendelea...
Pia kama kama processor yako ni kutoka intel basi huna budi kudownload kodi android version x86, otherwise pakua kodi ARM...
Naomba hiyo source mkuu
Je hakuna namna ya kupata kodi kwa wale tunao tumia android version 4.1
Je xbmc bado inafanya kazi? Nilidownload kutoka website fulani hivi ikakubali kufunga ila shida ni kwamba haikubali addon yeyote. Mfano nikiweka sports devil inaniambia add on dependensies not met. Unaweza nisaidia hapo?I don't think so...
Sasa hivi inafunguka...
Hapo katikati ilikuwa inasumbua nadhani jamaa walikuwa wanahamisha traffic yao kutoka server moja kwenda nyingine hivyo hata souce IP ilibadilika...
Kwa tunaojua tulibadilisha hiyo IP na mambo yakaendelea kuwa safi...
Sasa hivi kuna source IP's (host IP) mbili, ile ya mwanzo na nyingine mpya nafikiri wamefanya hivi kuondoa congestion...
Mkuu acha kudangaya raia...Azam 2 inaonekana vizuri tu
Mkuu naomba link mpya ya azam two
Je xbmc bado inafanya kazi?
Nilidownload kutoka website fulani hivi ikakubali kufunga ila shida ni kwamba haikubali addon yeyote. Mfano nikiweka sports devil inaniambia add on dependensies not met. Unaweza nisaidia hapo?
Vp hii kodi Inaweza kufanya kazi kwenye lumia 520
je Kama,haiwezekani Kuna app nyingine!?
IP ya zamani na mpya zote zinafanya kazi...
Btw IP kama unataka kubadili ya mwanzo tumia 154.73.170.210 iweke pale mahali pa ilipokuwa ile ya awali 196.41.40.253
Kuna link nilishawahi kuiweka hapa post #176 hivyo weka tu hiyo mpya ile sehemu yenye hiyo 196.41.49.253
IP zote tatu kwenye DT hamna kitu!! Leteni maujuzi zaid namna ya kuona azam2.
umeuliza vyema na mimi na kwama hapo hapo,, natumia android
Watu8 for da first time nime install kodi kwenye Android and its working perfectly.. And nimechek you tube how to add channels nimefanikiwa nimepata channel zaidi ya mia.. Hadi adults channel's haha.. Lakini jinsi ya kuadd channel's za Bongo nimekwama.. Naomba msaada please nimefuatilia hii thread kutoka mwanzo kuna sehemu sijaelewa,, kuhusu sijui creat folder then create file NDANI ya hilo folder.. Hapo ndo nimekwama.. Please naomba msaada hapo aisee Chief-Mkwawa