Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Natumia Samsung tab 10.1 lakini inakataa kudownload hiyo app
Tablet yako inatumia processor gani na ina android version gani?
Kodi inakubali kuingia katika device ya android yenye version 4.2 na kuendelea...
Pia kama una device inayorun recommended android version na processor yako ni kutoka intel basi huna budi kudownload kodi android version x86, otherwise pakua kodi ARM...