imekubari kaka ahsante sana,, hapa naangalia star tv na azam tv.
nasikia pia clouds tv wanapatikana ni kweli??
kama naweza kuwapata , nitumie njia gani?
thanx
Cheki yoyote inayokubali kwenye simu yako cha muhimu ujue format zinazokubalimkuu, Dstv Mobile siipati siku hizi naona simu tv tu
Njunwa Wamavoko nimeona hao jamaa wa offside fee yao ni pound 11 ila hawajaspecify kama ni one time fee, kwa mwezi au kwa mwaka.
Chief-Mkwawa inanipa hizi error kwenye channel za mpira
solution ni nini mkuu nataka hizo sport channel?, internet iko poa sana mbona.Hiyo ina maana zifuatazo
1.The link you're trying to open is dead...(Htizo ni internet au jaribu kufungua tena na tena kama tatizo lipo kwa connectivity)
solution ni nini mkuu nataka hizo sport channel?, internet iko poa sana mbona.
Hivi hakuna plugin ya kuangalia chanel za wakubwa jamani?? Maana za ball kwangu zimetosha
SPORTS DEVIL NA MONEYSPORTS
Nimeka ZemTV mambo poa! ThanksKuwa na addon zaidi ya moja...
Kama channel fulani ikigoma katika addon fulani, basi unaitafuta katika addon nyingine...
Sportsdevil, UK Turks, Phonex, Vdubt25 ZemTV, NJM Soccer, Pears, MoneySports na nyingine nyingi unapata links za michezo...
Nimeka ZemTV mambo poa! Thanks
Karibu tena mkuu...
Kuna addon kama cCloud ina Channels mbili za TRACE ila hata uwe kwenye 4G kitu ina buffer kila dakika moja!Mkuu nimejaribu kufanya Installation ya KODI na napata channels zote...tatizo inastack sana... jani baada ya dakika tatu inastack then inaacha kutoa sauti...natumia mtandao wa Voda na unasoma 3G..
tatizo labda litakua nini?
Mkuu nimejaribu kufanya Installation ya KODI na napata channels zote...tatizo inastack sana... jani baada ya dakika tatu inastack then inaacha kutoa sauti...natumia mtandao wa Voda na unasoma 3G..
tatizo labda litakua nini?
Kuna addon kama cCloud ina Channels mbili za TRACE ila hata uwe kwenye 4G kitu ina buffer kila dakika moja!
Nachoshauri pendelea Channel za SD na sio HD
Pia kuna addon ziko smooth kama ni mfatiliaji wa hii thread zimetajwa
Mkuu ishu ya buffering ina pande nyingi...
Unaweza ukawa na internet nzuri tu na bado kukawa na kukwama kwama...
Kuna addons zinapendwa sana na watu hivyo kunakuwa na congestion kubwa...
Inawezekana unataka kustream channels ambazo ni HD na uwezo wa internet yako ni mdogo...
Kuna addons nyingine kama alivyotaja mdau hapo juu zina shida ya connectivity hata uwe na internet nzuri vipi...
Nakushauri uwe na addon zaidi ya moja na kabla hujaiweka kwa Kodi uwe unatazama na kusoma reviews...
shukrani mkuu....nikumbushe add-ons nzuri moja tu.. mie shida yangu ni mpira tu...mengine sitaki
Zote hapo kiboko yao zem tv mi nimecheki game tatu jana na leo hakuna buffering hata kidogoSportsdevil, UK Turks, Phoenix, Vdubt25 ZemTV, NJM Soccer, Pears, MoneySports na nyingine nyingi unapata links za michezo...