Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
imekubari kaka ahsante sana,, hapa naangalia star tv na azam tv.
Karibu tena kaka...
nasikia pia clouds tv wanapatikana ni kweli??
kama naweza kuwapata , nitumie njia gani?
thanx
Naam Clouds TVinapatikana kwa njia ya web (web ya Tanzania box na Clouds wenyewe)...
Binafsi nimehangaika sana kuweza kuidukua IP source hadi sasa sijaweza...
Jamaa ambao wanahost hiyo server wanazificha sana IP za clients wao...
Siku nikiweza nitaweka hapa...