Naona watu wengi wanapata shida kwa ile njia ya mwanzo ambayo nilipata kuelekeza hapo awali:
Sasa ngoja nielekeze njia mpya ambayo ni mbadala ambayo bila shaka itakuwa rahisi kwa kila mmoja:
1. Download addon inayoitwa "Playlist Loader" na kisha install katika KODI...(Bila shaka kila mtu anajua namna ya kuistall addon)
2. Baada ya kuinstall, fungua notepad au notepad++ au text editor yoyote katika ndani yake weka kitu hiki:
#EXTINF:0 ,Azam 2
http://196.41.40.253:1935/live/myStream/playlist.m3u8
3. Save hilo file kwa kulipatia jina lolote mfano Azam2 na hakikisha liwe na extension ya dot mu3 (.mu3) badala ya dot txt (.txt), kama unatumia simu basi lihamishie kwa simu file hilo.
4. Kama ukishindwa kutengeneza hilo file basi tembelea link hii hapa chini nimetengeneza hilo file kwa faida ya wote.
https://drive.google.com/file/d/0B16EjXCF75lRbVVraDU3MzZYQVU/view?usp=sharing
5. Fungua Playlist Loader na fuatisha maelekezo haya.
Add a new list
6. Andika jina lolote ila napendekeza uandike Azam 2 ili iwe rahisi kukumbuka baadaye
7. Baada ya hapo chagua
New local list na uweke sasa ile pathname ya lile file ulilopakua toka kwangu hapo juu nambari 4.
8. Baada ya hapo Azam 2 itakuwa added, unaweza ifungua kuitazama.