Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,618
stable-negro kama unaweza nisaidia nitashukuru
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona watu wengi wanapata shida kwa ile njia ya mwanzo ambayo nilipata kuelekeza hapo awali:
Sasa ngoja nielekeze njia mpya ambayo ni mbadala ambayo bila shaka itakuwa rahisi kwa kila mmoja:
1. Download addon inayoitwa "Playlist Loader" na kisha install katika KODI...(Bila shaka kila mtu anajua namna ya kuistall addon)
2. Baada ya kuinstall, fungua notepad au notepad++ au text editor yoyote katika ndani yake weka kitu hiki:
#EXTINF:0 ,Azam 2
http://196.41.40.253:1935/live/myStream/playlist.m3u8
3. Save hilo file kwa kulipatia jina lolote mfano Azam2 na hakikisha liwe na extension ya dot mu3 (.mu3) badala ya dot txt (.txt), kama unatumia simu basi lihamishie kwa simu file hilo.
4. Kama ukishindwa kutengeneza hilo file basi tembelea link hii hapa chini nimetengeneza hilo file kwa faida ya wote.
https://drive.google.com/file/d/0B16EjXCF75lRbVVraDU3MzZYQVU/view?usp=sharing
5. Fungua Playlist Loader na fuatisha maelekezo haya. Add a new list
![]()
6. Andika jina lolote ila napendekeza uandike Azam 2 ili iwe rahisi kukumbuka baadaye
![]()
7. Baada ya hapo chagua New local list na uweke sasa ile pathname ya lile file ulilopakua toka kwangu hapo juu nambari 4.
![]()
8. Baada ya hapo Azam 2 itakuwa added, unaweza ifungua kuitazama.
Du yan mi naishia njian naona kama ngum sana ku install
Watu8,Chief-Mkwawa azam2 addon imegoma kila nikiifungua inanipa message ifuatayo!!"one or more items failed to play.Check the log for more information about this message"!!
mbona nimeona kama kwenye picha apojuu kuna kama option ya movie library / BOX OFFICE kwenye iyo kodi inamaana kuna library ya movie mbali mbali na nimpya?
Asubuhi na MTV... Imekuwa one of My Fav channel kwemye list ya channels zangu.... Hii thread imekuwa na msaada sana kwangu.. thanks a lot Watu8 Chief-Mkwawa
Mkuu imegoma kabisa kufunguka hiyo azam 2.sijui tatizo nini??
Watu8,Chief-Mkwawa azam2 addon imegoma kila nikiifungua inanipa message ifuatayo!!"one or more items failed to play.Check the log for more information about this message"!!
Azam 2 streaming server yao i think ipo down kwa sasa maana hata katika official webpage yao wapo offline...
Kama wakirudi au wakifanya changes zozote tutaambiana hapa hapa...