Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
Post yangu ya Mwisho niliwashauri watu watumie IPTV stalker Clone ambazo zina Premium streaming URL
Kuna kodi natumia iko full na ADDONS zake kari sana full IPTV...soon nitaweka link yake.
Itakuwepo na ya android au ni PC pekee?
Mi nina laptop ila najaribu kuweka kodi inagoma sijui tatizo nini?? Au kuna kodi ya simu na laptop??
Itakuwepo na ya android au ni PC pekee?
Unatumia clone ipi wewe?
Naona clones nyingi zinasumbua siku hizi, zinapiga mzigo kwa muda mfupi tu...
Kwa sasa situmia Clone natumia Paid stalker kabisa!
Mi nina laptop ila najaribu kuweka kodi inagoma sijui tatizo nini?? Au kuna kodi ya simu na laptop??
Ndio kuna utofauti wa setup file za simu na kompyuta
Ingia mtandao wa kodi upande wa downloads na udownload version sahihi kulingana na aina ya OS ya kompyuta yako (ie Windows, Linux, iOS)...
Halafu unatumia version gani ya Windows? Kama unatumia Windows XP tafuta version ya zamani ya Kodi(xbmc) kuanzia gotham(v13.x) kurudi nyuma
Sidhani. mie addons nilizoweka kwa pc ndizo nimeziweka kwa simu na zinapiga mzigo vzr kwenye pc natumia window 8 na kwenye simu natumia android lolpop
Yap ukieka addons husika utapata.
Mfano phoenix unapata movie/series mpya
Mkuu soma vizuri kilichoandikwa kabla huja-quote mtu...
Swali lililoulizwa halihusiani na habari za addons
we jaman mbona hauweki hiyo link mkuuKuna kodi natumia iko full na ADDONS zake kari sana full IPTV...soon nitaweka link yake.
Asubuhi na MTV... Imekuwa one of My Fav channel kwemye list ya channels zangu.... Hii thread imekuwa na msaada sana kwangu.. thanks a lot Watu8 Chief-Mkwawa
Mkuu add on gani unatumia kupata mtv.
Kwenye add source.... Am sure unajua mkuuu
Ebu fafanua vzur mkuu kuhusu MTV