Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kuhusu Mtandao mzuri mm naona Halotel wanatisha sana sema ndo hivo message ya kubana speed haichelewi kuja!

Kama unavyoweza kuona kwenye picha hapa napata 19Mbps nafikiri hata Tigo 4G maeneo mengine wanapata peed kama hii

hqAUw9.png
 
Unatumia clone ipi wewe?

Naona clones nyingi zinasumbua siku hizi, zinapiga mzigo kwa muda mfupi tu...

Post yangu ya Mwisho niliwashauri watu watumie IPTV stalker Clone ambazo zina Premium streaming URL
 
Kuna kodi natumia iko full na ADDONS zake kari sana full IPTV...soon nitaweka link yake.
attachment.php
 
Attachments

  • Screenshot 2015-12-13 03.34.24.png
    Screenshot 2015-12-13 03.34.24.png
    251.1 KB · Views: 207
  • Screenshot 2015-12-13 03.46.08.png
    Screenshot 2015-12-13 03.46.08.png
    230.7 KB · Views: 652
Mi nina laptop ila najaribu kuweka kodi inagoma sijui tatizo nini?? Au kuna kodi ya simu na laptop??
 
Mi nina laptop ila najaribu kuweka kodi inagoma sijui tatizo nini?? Au kuna kodi ya simu na laptop??

Ndio kuna utofauti wa setup file za simu na kompyuta

Ingia mtandao wa kodi upande wa downloads na udownload version sahihi kulingana na aina ya OS ya kompyuta yako (ie Windows, Linux, iOS)...

Halafu unatumia version gani ya Windows? Kama unatumia Windows XP tafuta version ya zamani ya Kodi(xbmc) kuanzia gotham(v13.x) kurudi nyuma
 
Sidhani. mie addons nilizoweka kwa pc ndizo nimeziweka kwa simu na zinapiga mzigo vzr kwenye pc natumia window 8 na kwenye simu natumia android lolpop
 
Mkuu soma vizuri kilichoandikwa kabla huja-quote mtu...

Swali lililoulizwa halihusiani na habari za addons

Sidhani. mie addons nilizoweka kwa pc ndizo nimeziweka kwa simu na zinapiga mzigo vzr kwenye pc natumia window 8 na kwenye simu natumia android lolpop
 
Back
Top Bottom