Kwa Anayehitaji haya mabox ani pm bei ni laki moja tu
Hebu fafanueni hizo box zinafanyaje kaz wengine ni wageni kabisa katika teknolojia yetu
kioo kinakuwa cha tv ukichomeka tu waya toka kwenye box hadi tv hapo hapo tv itaonyesha.Nimekupata kaka hivyo waweza tumi TV kustream online kwa kupitia kodi swali langu ni je utamanage vipi kuweka kodi kama kwenye masomo yako hapo ilhali kifaa hakina kioo
Naweza ku- Install KoDI TV kwenye iPhone!???? Naomba Muongozo.
Kwenye zem tv mara nyingi mi huwa natizama channel za sports kutizama mpira. Ila kuna channel hazifynguki zipo tu.Sheffah hebu nisaidie umetumia plugin zipi kuweza kufanikisha mchakato mi nimeweka zem TV but Chanel zinaleta orodha tu but hakuna kinachoendelea
Hapo kwa zem tv kuna supersport mwanzo zilikuwa zinafunguka but now hazifunguki sijui tatizo nn vipi kwako mdau zinafunguka?Kwenye zem tv mara nyingi mi huwa natizama channel za sports kutizama mpira. Ila kuna channel hazifynguki zipo tu.
Supersport zinafunguka ila kwa plugin za bure haiwez kuipeleka ata dk 2 inanasa. Maelezo zaidi muone #chiefmkwawa au #watu8 akupe full maelezo hasa ya kupata plugin za kulipiaHapo kwa zem tv kuna supersport mwanzo zilikuwa zinafunguka but now hazifunguki sijui tatizo nn vipi kwako mdau zinafunguka?
Zem tv ndo natumia kupata sky sports na zingine za soka na michezo mingine mbali mbali.Ndo nataka za Mpira wewe unaangalia kupitia ipi