Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

151aee57ab4f523207b42ad50b224806.jpg
731ae58ceee54c3fea4be8dd9c76e5a4.jpg
3387b27d0f302a1fc42c4a22742c6e2e.jpg

ANDROID IPTV BOX AVALABLE AT DAR ES SALAAM
Wadau ukiwa na box hili unaweza kuliset kama vile unavyoset simu au tablet yako kupata IPTV channels.Netflix kisha box hill unaconect na TV yako na kupata channel zote kwenye TV.box linakuja na remote yake. Bei ni laki moja kwa wanaohitaji PM me
 
Hebu fafanueni hizo box zinafanyaje kaz wengine ni wageni kabisa katika teknolojia yetu
 
Hebu fafanueni hizo box zinafanyaje kaz wengine ni wageni kabisa katika teknolojia yetu

inakuwa ni kama simu bila kioo, wanakuekea port za tv kama hdmi ili uchomeke waya toka kwenye box hadi tv. hivyo kile unachokiona kwenye simu utakiona kwenye Tv na unatumia remote kunavigate toka app moja hadi nyingine.

pia inakuwa na usb port ya kuchomeka vitu kama external hdd, flash disk, card reader nk.

na kama ilivyo simu hii pia unaangalia specification utahitaji iwe na speed ya internet, iwe na 3g/4g, ram kubwa nk

kazi ya hizo box ni kufanya tv iwe smart, utaangalia youtube, utaangalia tv na kodi, utacheza games hata whatsapp na fb ukitaka zipo kwa lugha rahisi tv yako itafanya mambo yote ya simu
 
Nimekupata kaka hivyo waweza tumi TV kustream online kwa kupitia kodi swali langu ni je utamanage vipi kuweka kodi kama kwenye masomo yako hapo ilhali kifaa hakina kioo
 
Nimekupata kaka hivyo waweza tumi TV kustream online kwa kupitia kodi swali langu ni je utamanage vipi kuweka kodi kama kwenye masomo yako hapo ilhali kifaa hakina kioo
kioo kinakuwa cha tv ukichomeka tu waya toka kwenye box hadi tv hapo hapo tv itaonyesha.

then ndio utafanya mpango wa kudownload hio kodi
 
nmefankiwa kuinstal kodi na some addons. shida imekuja kwnye channel za kibongo kazi imekuwa ngumu sana upande wangu
 
Sheffah hebu nisaidie umetumia plugin zipi kuweza kufanikisha mchakato mi nimeweka zem TV but Chanel zinaleta orodha tu but hakuna kinachoendelea
 
Sheffah hebu nisaidie umetumia plugin zipi kuweza kufanikisha mchakato mi nimeweka zem TV but Chanel zinaleta orodha tu but hakuna kinachoendelea
Kwenye zem tv mara nyingi mi huwa natizama channel za sports kutizama mpira. Ila kuna channel hazifynguki zipo tu.
 
Kwenye zem tv mara nyingi mi huwa natizama channel za sports kutizama mpira. Ila kuna channel hazifynguki zipo tu.
Hapo kwa zem tv kuna supersport mwanzo zilikuwa zinafunguka but now hazifunguki sijui tatizo nn vipi kwako mdau zinafunguka?
 
Hapo kwa zem tv kuna supersport mwanzo zilikuwa zinafunguka but now hazifunguki sijui tatizo nn vipi kwako mdau zinafunguka?
Supersport zinafunguka ila kwa plugin za bure haiwez kuipeleka ata dk 2 inanasa. Maelezo zaidi muone #chiefmkwawa au #watu8 akupe full maelezo hasa ya kupata plugin za kulipia
 
Back
Top Bottom