Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kwa wale ambao mtandao uko slow tumia hii hd zote zilikuwa zinastuck lkn hii mwendo mdundo,nimeangalia mechi ya Chelsea vs man utd yote kwa 220 mb tuu.
 
Najaribu kupitia tutorial hiyo but naona kunakiutofauti Fulani kwenye kuinstall nijulie ni namna gani naanza hasa step ya kwanza lakini pia napenda kujua je vlc nayo nilisikia inatumika plz chief na wengine wote mjuao hebu tuwekeeni namna ya kuiweka na hiyo vlc tuitumie tupate kulinganisha game nimeichekipia licha kua [Iilikua inastuck stuck kimtindo kupitia zemtv but kidogo mwanga wa IPTV naupata
 
vlc utaweza angalia ila kabla ya mechi itabidi uwe unatafuta link mwenyewe

-fungua vlc
-juu kulia click palipoandikwa media
-itafunguka drop menu click stream
-itafunguka windows mpya click tab ya network
-weka link yako halafu subiri kidogo vlc itaplay.

jinsi ya kupata links search google unachokitaka au tumia links hizi
IPTV Links
iptv Archives - Husham
 
Manaake umefanikiwa kuiunroot na hapo ndio simu yako android verson yako ilipoishia. Subiri utumiwe nyingine au fanya manually mwenyewe
Sawa sawa ngoja nikae pembeni sasa nisubiri mzigo mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…