Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

jaribu kui unroot, kuna app inaitwa super su kwenye simu yako?
Nime install super su lakini inaniandikia hivi nikifungua

1454845250094.jpg
 
Kuna plugin ya mpira inaitwa devilsport hii ni kombakomba, haina chanell za hd ila ina maelfu ya chanell kutoka website zote maarufu za mpira kama firstrow, rojadirecta, livetv.ru nk

Kama umechoka na matangazo ya website na internet ipo slow tumia hii plugin.

Tutorial How to Install SportsDevil Kodi
Kwa wale ambao mtandao uko slow tumia hii hd zote zilikuwa zinastuck lkn hii mwendo mdundo,nimeangalia mechi ya Chelsea vs man utd yote kwa 220 mb tuu.
 
Najaribu kupitia tutorial hiyo but naona kunakiutofauti Fulani kwenye kuinstall nijulie ni namna gani naanza hasa step ya kwanza lakini pia napenda kujua je vlc nayo nilisikia inatumika plz chief na wengine wote mjuao hebu tuwekeeni namna ya kuiweka na hiyo vlc tuitumie tupate kulinganisha game nimeichekipia licha kua [Iilikua inastuck stuck kimtindo kupitia zemtv but kidogo mwanga wa IPTV naupata
 
vlc utaweza angalia ila kabla ya mechi itabidi uwe unatafuta link mwenyewe

-fungua vlc
-juu kulia click palipoandikwa media
-itafunguka drop menu click stream
-itafunguka windows mpya click tab ya network
-weka link yako halafu subiri kidogo vlc itaplay.

jinsi ya kupata links search google unachokitaka au tumia links hizi
IPTV Links
iptv Archives - Husham
 
Back
Top Bottom