Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

shukrani mkuu yan ki2 inapiga kazi baalàa
 
Attachments

  • 1455222792508.jpg
    40.1 KB · Views: 62
Unawekaje kwenye kodi nimejaribu nimeshindwa nimetumia playlist loader au unatumia njia gani!
 
mkuu nimejarib hii attchment tv kwenye cmu nyingine imegoma inasema cant open the file simu ni ya adroid OS no 4.2.2 nifanyeje app mkuu
 
mkuu nimejarib hii attchment tv kwenye cmu nyingine imegoma inasema cant open the file simu ni ya adroid OS no 4.2.2 nifanyeje app mkuu

download es file explorer utumie ku extract au zip manager yoyote. hilo file lipo mfumo wa zip na simu haiwezi fungua zip hadi ipate msaada wa application nyengine.
 
download es file explorer utumie ku extract au zip manager yoyote. hilo file lipo mfumo wa zip na simu haiwezi fungua zip hadi ipate msaada wa application nyengine.
Kaka nashukuru sana! Nimesoma bila kucoment kitu nikafata maelekezo nimefanikiwa ndg nina chanel za mpira karibia zote skysport,bein na nyinginezo! Tv za home zote pia sema shida kodi kuna wakati inastuck na kugoma kufunguka
 
Mkuu nimefanikiwa ku istall KODI na inafanya kazi bt tatizo kila niki play kitu chochote nasikia sauti sioni picha. kwa mfano hapa now nimeweka Aljaazira tv haionyeshi picha bali nasikia sauti tu Msaada tafadhali nifafanye nini Pc yangu ni SONY Processor Inter(R)Core(TM)5CPUM460@2.53GHz Installed (RAM) 4.00GB (3.86gb usable) System Type 64~bit Oparating System. x64~based prossesor
 
Nimeinstall KODI nime ad on ya watchmojo lakini sehemu ya sports inaniletea unexpected error occured, naombeni msaada nifanyeje ili nipate kuona channels za mpira, msaada please
 
Imekubali kwenye android bila hata ku extract, asante sana.
Lakni nijuze umetumia njia ipi hata kwa baadae nifanye mwenyewe nitengeze playlist za m3u tu kwa TV zile nazohitaji tu.
Kaka nieleweshe hapo? umewezaje bila kunavigate yaani umeingiaje.Mi natumia android
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…