Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Jmn mi naomba msaada, nimedownload kodi, ad on ya watchmojo ipo lkn sijui nifanye nini zaid ili kuweza kuangalia mpira
angalia mainthread sehemu kulipoandikwa tutorial za kupata plugins
 
angalia mainthread sehemu kulipoandikwa tutorial za kupata plugins
Cheaf me nina zote na plugin zaidi ya mbili lakin zote nilianza kuangalia hasahasa mpira inakatakata sana na mwishowe inaacha kabisa na natumia halotel! Hata mobdro nayo inakatakata
 
Chief mi natumia Nokia Lumia 620, nimejaribu Ku download KODI,inagoma. Msaada tafadhali
 
Naletewa maelezo kuwa siruhusiwi kutumia hiyo app. mpaka nijiunge ttcl vipi hakuna shortcut mkuu ili niitumie.
8f1f03c3c8121e60814d89e2c39cee28.jpg
 
Cheaf me nina zote na plugin zaidi ya mbili lakin zote nilianza kuangalia hasahasa mpira inakatakata sana na mwishowe inaacha kabisa na natumia halotel! Hata mobdro nayo inakatakata
hakikisha kwanza kama eneo lako una speed na ping nzuri download app ya speedtest toka store then pima speed yako halafu nisomee download speed na ping
 
Chief mi natumia Nokia Lumia 620, nimejaribu Ku download KODI,inagoma. Msaada tafadhali
kodi haipo windows phone, mimi kwa wp natumia youtube kuangalizia mpira.

nenda store search app inaitwa stream tube then download

mechi ikichezwa search jina la timu inayocheza mfano manchester utaona streaming kibao zinatokea, chagua utakayoona nzuri. kuna streaming fake nyingi itabidi utulie ili kupata nzuri
 
chief mkwawa nimefuatilia jinc ya ku-ad on ya DNA now ni km dkk 20 bado screen ya cm iko imestuck sehemu ya kusubiri dna repository enable, vp inachukua mda mrefu sana?
 
chief mkwawa nimefuatilia jinc ya ku-ad on ya DNA now ni km dkk 20 bado screen ya cm iko imestuck sehemu ya kusubiri dna repository enable, vp inachukua mda mrefu sana?
hapana, pengine tayari imeshasema hukuiona, inatokea kidogo tu then inapotea
 
Back
Top Bottom